Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
simba mtelezo hapo.Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu( imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA...
Si bure team ianzishwe 2015 iwe na mafanikio makubwa hivyo Simba wajipange.Hivi vitimu vipya hivi inabidi kujiandaa haswaa
Kibotswana iandikwe Kiswana!Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu( imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.
Vipi mwana JF unaionaje hii team, na ipi nafasi ya simba kuelekea makundi ya klabu bingwa.
NB: Simba hatudharau mechi, kipimo anachopimiwa Al Ahly ndicho hicho hicho watakachopimiwa hawa vijana wa kibotswana.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Hakuna mtelezo hii ni ligi ya mabingwa,simba mtelezo hapo.
ila wakaze yasitokee ya ud songo
Nashukuru mkuu.Kibotswana iandikwe Kiswana!
Nawasilisha [emoji1431]
ahh wapii. hapo ganda la ndizi
Mungu yupo nasi.Amen Mungu atubariki tuvuke tufike Makundi na zaidi
Wataingia kama underdog, hivyo watajitoa sana hawana cha kupoteza.ahh wapii. hapo ganda la ndizi
Wale Mbambane swalowers ni wachovu...Tunakipiga kama Mbababe Swalowers. goli nyingi
watswana hawana maajabu kwenye mpira ki, ufupi simba hapo kaingia makundiWataingia kama underdog, hivyo watajitoa sana hawana cha kupoteza.
Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Ni vyema ikiwa hivyo, ila kwa yaliyotukuta kwa UD Songo sitaki kabisa kuzisikia team ndogo.aggregate itakua Simba 15:0Jwaneng Galaxy Football Club
Kile kipindi tulikua na wachezaji mizigo ila sasa ivi walio wengi wanauchu na mafanikio tutatoboa tuNi vyema ikiwa hivyo, ila kwa yaliyotukuta kwa UD Songo sitaki kabisa kuzisikia team ndogo.
Naamini kocha atajiandaa vyema.Kile kipindi tulikua na wachezaji mizigo ila sasa ivi walio wengi wanauchu na mafanikio tutatoboa tu