Rasmi: ni Simba sc vs Jwaneng galaxy football club

Rasmi: ni Simba sc vs Jwaneng galaxy football club

Alexander Lukashenko

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Posts
4,140
Reaction score
9,667
Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.

Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu (imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.

Vipi mwana JF unaionaje hii team, na ipi nafasi ya simba kuelekea makundi ya klabu bingwa.

NB: Simba hatudharau mechi, kipimo anachopimiwa Al Ahly ndicho hicho hicho watakachopimiwa hawa vijana wa kiswana.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
 
Jwaneng Galaxy Football Club, ni team ambayo itacheza na Simba katika michuano ya club bingwa Africa.
Ni team mpya ndio kwanza inamiaka 6 tu( imeanzishwa 2015), kutoka huko BOTSWANA.
Vipi mwana JF unaionaje hii team, na ipi nafasi ya simba kuelekea makundi ya klabu bingwa.
NB: Simba hatudharau mechi, kipimo anachopimiwa Al Ahly ndicho hicho hicho watakachopimiwa hawa vijana wa kibotswana.

Sent from my SM-M205F using JamiiForums mobile app
Kibotswana iandikwe Kiswana!

Nawasilisha 🙏🏽
 
Back
Top Bottom