Rasmi nimeacha wivu kwenye mapenzi wanawake ni wengi options ni nyingi

Rasmi nimeacha wivu kwenye mapenzi wanawake ni wengi options ni nyingi

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Imechukua muda sana kukubali kuwa sharing is giving and receiving, pia kuna kupata na kukosa na kupata tena na kukosa tena, game on.

Baada kipindi kurefu cha ujinga wa wivu kwenye mapenzi na mahusiano na wanawake sasa nimeachana na uzuzu na upumbavu wa kuwa na wivu.

Wanawake ni wengi na wamejaa tele nimeukata mnyororo wa wivu. Gereza lilikuwa na matesa sana.

Nimefunguliwa Asante sana Mungu umekuwa ni mwema sana.

🙏🙏🙏

Wadiz
 
Can't fall in Love I got options

#Tyga#
 
Unamaanish nini, kwamba upo tayari kufanya usaliti ikiwa umefanyiwa, au kuachana na unaempenda kisa wanawake wapo wengi
 
Back
Top Bottom