Rasmi nimeamua kupaki sitatumia tena gari

Tatizo sio mama kwa kuwa bei ilipanda soko la dunia ukichanganya na kodi siijui 15 kwenye mafuta lazima yawe bei juu
Suluhisho la kushusha bei za mafuta ni kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi pale TANGA
Fursa hiyo ya kuchakata mafuta ya Uganda
Uwapangie wazungu masharti wakati mafuta ni yao?
 
Wewe hata huo mkebe huna.. kama reasoning yako inakwambia Mama ndo kapandisha bei ya mafuta...
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]mama
Alafu leo nimepata nimegombana na raisi hivi ndoto hy inaashiria nn

Wakuu
 
Nina milion 4 niuzie hyo gar
 
Ndio mkome๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mpaka 2035 mtajamba cheche
 
Tatizo sio mama kwa kuwa bei ilipanda soko la dunia ukichanganya na kodi siijui 15 kwenye mafuta lazima yawe bei juu
Suluhisho la kushusha bei za mafuta ni kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi pale TANGA
Fursa hiyo ya kuchakata mafuta ya Uganda
Unafikiri Kuna mwenye Hilo wazo huko serikalini?
Wao Ni ku import sukari, kuimport mafuta, kuimport nguo n.k
Sasa utaona tuta export mafuta ya Uganda kupitia TANGA. Yataenda kusafishwa Dubai Kisha tutaya import mafuta hayo hayo kwa Bei mbaya.
 
Utapoteza zaidi badala ya kusave.. Mafuta yakipanda kila kitu kinapanda bei, hivyo uamuzi wa kuegesha gari hautakupa unafuu wowote
 
Ungeliuza kabisa. Gari kama siyo la biashara ni njia moja wapo ya kuongeza umasikini hususani miongoni mwa tabaka la kati.

Mimi niliamua kuuza gari langu kama sehemu ya mkakati wa kujikimboa kiuchumi, hakika sijutii.
 
Tatizo sio mama kwa kuwa bei ilipanda soko la dunia ukichanganya na kodi siijui 15 kwenye mafuta lazima yawe bei juu
Suluhisho la kushusha bei za mafuta ni kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi pale TANGA
Fursa hiyo ya kuchakata mafuta ya Uganda
Anahusika hata kama huko duniani yamepanda.

Kumbuka juzi kati hapo walipandisha na wakaja na njia yao ya kununua or kuagiza moja kwa moja mafuta as serikali kuepusha ulanguzi na kupanda bei olela, leo tena nini hiki!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ