[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ukiwa na ndinga ivi vi 20,000/= avikai kbsa mfukoni
Ungeweza kufikiria juuu ya ges hilo wazo ungeliweka mfuko wa nyuma.Tatizo sio mama kwa kuwa bei ilipanda soko la dunia ukichanganya na kodi siijui 15 kwenye mafuta lazima yawe bei juu
Suluhisho la kushusha bei za mafuta ni kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi pale TANGA
Fursa hiyo ya kuchakata mafuta ya Uganda
Kuna madili ya wafanyabiashara hapo kipindi cha magufuli walibanwa mnokutokana na hali ya uchumi ...mafuta yame panda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupak sitatumia tena gari labda ubber dala dala na boda boda........
Inatumia sperms,niliona kwny manual book yake.Kwani yenyewe inatumia mafuta!!?
umenifanya nicheke sana aiseesiku ukisikia mbiu wenye magari watoke wewe na hiyo passo usitoke maana hiyo nisawa na boxer tuu hivyo vifude ukipota sheli kikisikia tuu harufu ya mafuta kinatembea
Hakuna unafuu hapo, labda kama unaongelea Tanga mjini, ila ukiingia wilayani huko (mf. Kilindi) hali ni mbaya sana... lita tunanunua Tsh. 2800/.yaani mkuu tz mikoa yote mafuta unafuu wa bei ni mkoa wa tanga tuu
Hizo tozo za ndani, zipo kwenye soko la dunia..!?Tatizo sio mama kwa kuwa bei ilipanda soko la dunia ukichanganya na kodi siijui 15 kwenye mafuta lazima yawe bei juu
Suluhisho la kushusha bei za mafuta ni kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi pale TANGA
Fursa hiyo ya kuchakata mafuta ya Uganda
Unamtishia Nani?kutokana na hali ya uchumi ...mafuta yame panda bei vilivyo leo nimeamua kujinyima nikaweka mkebe wangu walau lita 10 za kupashia injini tuu kila baada ya siku saba lkn rasmi nimeamua kupak sitatumia tena gari labda ubber dala dala na boda boda........
Mafuta ya Uganda siyo yenu. Msipotoshe umma kama mambo ya gesi ya mtwara. Huna mamlaka nayo,.wewe kazi yako ni kama mtaro tu wa kuyapitishia kuelekea bandari pale ili yasafirishweTatizo sio mama kwa kuwa bei ilipanda soko la dunia ukichanganya na kodi siijui 15 kwenye mafuta lazima yawe bei juu
Suluhisho la kushusha bei za mafuta ni kujenga kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi pale TANGA
Fursa hiyo ya kuchakata mafuta ya Uganda
Mitaa yetu huku mtungi mkubwa 60 mdogo.25Nimeamka asubuhi nimeuliza nikaambiwa 2,660,nikauliza na gesi mtungi mkubwa nikaambiwa 55,000 nikasema sio mbaya nikaendelea na maisha yangu
Yap biashara ifanyike. Watu na nguvu zaoNiuzie Mimi, am serious