DALA
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,256
- 4,647
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ukiwa na ndinga ivi vi 20,000/= avikai kbsa mfukoni
Alafu kila siku kuna matumizi kibao yasiyo ya lazim, misafari yasiyokuwa na faida ndo usiseme. Hapo sijagusia idadi ya michepuko ambayo ndo gharama sasa zaidi na sumu kubwa ya maendeleo.
Gari siyo uwekezaji labda kama ni ya biashara.