Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu sahihi kwangu kunipa furaha sababu ni wababe wa dunia kwenye suala la soka na niseme ukweli tu nilikua nawaone a wivu mashabiki wa Madrid wakiwa wanafurahia kubeba MAKOMBE