Rasmi nimeongeza timu ya kushangilia ambayo ni Real Madrid ili nifurahie makombe

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu sahihi kwangu kunipa furaha sababu ni wababe wa dunia kwenye suala la soka na niseme ukweli tu nilikua nawaone a wivu mashabiki wa Madrid wakiwa wanafurahia kubeba MAKOMBE
 
😂😂 chama lako la Washika Mitutu halileti makombe kabatini
 
Kesho utabadili dini, kesho kutwa utabadili kabila kwa sababu hizo hizo!
 
Mara useme kushabikia Simba n yanga uchizi..Mara uikimbie arsenal.Una Nini kwan Hahha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…