RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
UHISPANIA: Klabu ya Real Madrid yathibitisha kumuuza Cristiano Ronaldo kwenda Juventus ya nchini Italia kwa dau la €105 Milioni
 
We're about to bring the fire in the Bernabéu. Perez hajafanya usajili wa kutisha miaka mingi sana.
 
Aisee imeshituwa wengi wapenda soka.

Cr7 inasemekana yeye aliwambia real Madrid kwamba ni muda muafaka kuondoka na wametoa baraka zote na ongezeko la dollar limehusika (mshahara).
Nahisi kama anaenda kupotea kwenye ramani ya soka, anyway muda utaongea.
 
Kwa imani yangu mimi,naona bado atafanya makubwa.

Huyu jamaa anafanya mazoezi ya kutisha na tabia yake ya kutokata tamaa na njaa ya kuweka rekodi ya kwake zaidi.
Atanifurahisha, yaan nimesikitika kama ananijua vile[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…