Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanahelaaaabasiii LABDA WAMUUZE NA MMILIKI WAOOSi angerudi tu OT kwa matajiri wa dunia!
Aisee imeshituwa wengi wapenda soka.Sijui kwanini sijapenda yeye kuondoka R.Madrid.
Nahisi kama anaenda kupotea kwenye ramani ya soka, anyway muda utaongea.Aisee imeshituwa wengi wapenda soka.
Cr7 inasemekana yeye aliwambia real Madrid kwamba ni muda muafaka kuondoka na wametoa baraka zote na ongezeko la dollar limehusika (mshahara).
Neymar Jr itakuwa poa hata kibiashara,anamwili wa biashara(matangazo),hata Mbampe sio mbaya au Hazard plan c.Bado kidogo tu utaskia pia
Neymar "sings for really Madrid
From PSG"
Kwa imani yangu mimi,naona bado atafanya makubwa.Nahisi kama anaenda kupotea kwenye ramani ya soka, anyway muda utaongea.
Neymar Jr namuona kama bishoo bishoo sana kura yangu nampa HazardNeymar Jr itakuwa poa hata kibiashara,anamwili wa biashara(matangazo),hata Mbampe sio mbaya au Hazard plan c.
Atanifurahisha, yaan nimesikitika kama ananijua vile[emoji23][emoji23]Kwa imani yangu mimi,naona bado atafanya makubwa.
Huyu jamaa anafanya mazoezi ya kutisha na tabia yake ya kutokata tamaa na njaa ya kuweka rekodi ya kwake zaidi.
Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.Neymar Jr namuona kama bishoo bishoo sana kura yangu nampa Hazard