Hahaha,,,naamini pia wale Shabiki wa kutupwa wa Cr7 hii si taarifa nzuri hata kidogo kwa siku ya leo.Atanifurahisha, yaan nimesikitika kama ananijua vile[emoji23][emoji23]
Cr7 ni athlete mzuri sana! Bado ana miaka 3 ya top football kabla ya kwenda china kukwapua pesa.Kwa imani yangu mimi,naona bado atafanya makubwa.
Huyu jamaa anafanya mazoezi ya kutisha na tabia yake ya kutokata tamaa na njaa ya kuweka rekodi ya kwake zaidi.
Anataka akadhihirishe kwa mara ya pili kwamba ligi za ulaya unazimudu bila taabu wala shida.Ila ronaldo anajiamini kokote yeye kambi
Tupo pamoja kimawazo kamanda,Cr7 ni athlete mzuri sana! Bado ana miaka 3 ya top football kabla ya kwenda china kukwapua pesa.
Yes ajirekebishe yaani simkubali huyo mtu.Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.
Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Yaani imeninyima raha.Hahaha,,,naamini pia wale Shabiki wa kutupwa wa Cr7 hii si taarifa nzuri hata kidogo kwa siku ya leo.
Je, Messi hana mpinzani La liga..?
Nadhani hayo madoido yake ni kujiweka tofauti na wengine ila napenda sana uchezaji wake yupo vizuriHahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.
Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Juzi nilikuwa na rafiki zangu sasa wakaleta maada ya soka nani bora Neymar na Hazard aisee palikuwa hapatoshi.Yes ajirekebishe sijui simkubali huyo mtu.
Watu wanadai apunguze madoido ambayo wakati mwingine hayaleti faida ya ushindi wakati timu inataka ushindi kwa udi na uvumba.soka la sasa limeegemea kwenye goli ushindi na biashara zaiidi si burudani sana kama miongo ya nyuma.Nadhani hayo madoido yake ni kujiweka tofauti na wengine ila napenda sana uchezaji wake yupo vizuri
Yeah, hiyo inaonesha ni kwa jinsi gani ni fighter asiyerudi nyuma.Ila ronaldo anajiamini kokote yeye kambi
Kweli, Neymar ni bishoo sana, Hazard means business.Neymar Jr namuona kama bishoo bishoo sana kura yangu nampa Hazard
Watahamia Juve mkuu kama walivyotoka Man.ahaha,,,naamini pia wale Shabiki wa kutupwa wa Cr7 hii si taarifa nzuri hata kidogo kwa siku ya leo.
Kunabaadhi ya shabiki wa soka walikuwa hawampendi Cr7 kipindi akiwa Old Trafford alivyohamia Real Madrid wakawa shabiki namba moja Cr7.Watahamia Juve mkuu kama walivyotoka Man.
Simira,Yaani imeninyima raha.
Kwa sasa messi atakua hana mpinzani.
Naona game imeanza, kwaheri.
Hili lilikuwa gumu sana la kurudi OT, maana wangekuwa na matarajio makubwa sana kutokana na performance ya CR wakati jamaa umri ndio unaelekea ukingoni kisoka. Angekuwa na presha kubwa sana. Binafsi naona ni maamuzi mazuri kwenda Juve.Kama watahamia huko alikokwenda haina taabu,ila naamini kunabaadhi ya man united fans walikuwa wanandoto ya Cr7 kurudi OT.
Ndio, ndio, umezungumza vyema.Hili lilikuwa gumu sana la kurudi OT, maana wangekuwa na matarajio makubwa sana kutokana na performance ya CR wakati jamaa umri ndio unaelekea ukingoni kisoka. Angekuwa na presha kubwa sana. Binafsi naona ni maamuzi mazuri kwenda Juve.