RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

Kwa imani yangu mimi,naona bado atafanya makubwa.

Huyu jamaa anafanya mazoezi ya kutisha na tabia yake ya kutokata tamaa na njaa ya kuweka rekodi ya kwake zaidi.
Cr7 ni athlete mzuri sana! Bado ana miaka 3 ya top football kabla ya kwenda china kukwapua pesa.
 
Cr7 ni athlete mzuri sana! Bado ana miaka 3 ya top football kabla ya kwenda china kukwapua pesa.
Tupo pamoja kimawazo kamanda,

Jamaa bado anauwezo hasa kupachika mabao,speed na nguvu za mwili,miguu bado yupo fiti.
 
Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.

Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Yes ajirekebishe yaani simkubali huyo mtu.
 
Hahaha,,,naamini pia wale Shabiki wa kutupwa wa Cr7 hii si taarifa nzuri hata kidogo kwa siku ya leo.

Je, Messi hana mpinzani La liga..?
Yaani imeninyima raha.

Kwa sasa messi atakua hana mpinzani.

Naona game imeanza, kwaheri.
 
Hahaha ubishoo wake sindio wanautumia kibiashara zaidi.

Kuna vitu vichache akivifanyia kazi bwana mdogo Neymar atakuwa bora zaiidi. Mfano kutoa pasi mapema na kupunguza madoido mahali pasipo na ulazima.
Nadhani hayo madoido yake ni kujiweka tofauti na wengine ila napenda sana uchezaji wake yupo vizuri
 
Nadhani hayo madoido yake ni kujiweka tofauti na wengine ila napenda sana uchezaji wake yupo vizuri
Watu wanadai apunguze madoido ambayo wakati mwingine hayaleti faida ya ushindi wakati timu inataka ushindi kwa udi na uvumba.soka la sasa limeegemea kwenye goli ushindi na biashara zaiidi si burudani sana kama miongo ya nyuma.

Mimi pia ni moja ya watu/wadau wapenda soka la burudani,Gaucho,Neymar,Okocha,kipindi flani kwa "Quaresema" na kwa mbali zizzou zidane.
 
Watahamia Juve mkuu kama walivyotoka Man.
Kunabaadhi ya shabiki wa soka walikuwa hawampendi Cr7 kipindi akiwa Old Trafford alivyohamia Real Madrid wakawa shabiki namba moja Cr7.

Kama watahamia huko alikokwenda haina taabu,ila naamini kunabaadhi ya man united fans walikuwa wanandoto ya Cr7 kurudi OT.
 
Kama watahamia huko alikokwenda haina taabu,ila naamini kunabaadhi ya man united fans walikuwa wanandoto ya Cr7 kurudi OT.
Hili lilikuwa gumu sana la kurudi OT, maana wangekuwa na matarajio makubwa sana kutokana na performance ya CR wakati jamaa umri ndio unaelekea ukingoni kisoka. Angekuwa na presha kubwa sana. Binafsi naona ni maamuzi mazuri kwenda Juve.
 
Ndio, ndio, umezungumza vyema.

Ngoja tutazame Real Madrid watafanya sajili gani msimu huu au Mtu wa kuziba walau nafasi yake.
 
Back
Top Bottom