RASMI Ronaldo ahamia Juventus Turin

Chamsingi kwake ni hela,hii watu watalalamika,watamsikitikia,haimsaidi sana yeye,yeye kwake mpira ni kazi zaidi kuliko burudani kwa watu wengine.....
 
Mashabiki wa madrid wasivyokuwa na uvumilivu, Neymer akileta hizo mbwembwe bila magoli, atakimbia bernabeu mwenyewee
Kama ndo hivyo basi Hazard ndo hataweza kabisa maana kufunga hajui, na Mbappe sijui kama anaweza kufunga magoli mengi kama Neymar
 
Madrid inapaswa kusajili wachezaji wa maana, Neymar wamuweke pembeni, hamna kitu mule. Neymar sio wa kucheza na akina Kroos na Modric.
 
Mkuu unanizungumzia mimi
jamaa nilikua simpendi mm uyo, uwii yani nikiskia ronaldo natamani kutapika[emoji23]
alivyohamia madrid mimi saivi ni mfia ronaldo maana sio shabiki.. page zangu zimejaa ronaldo
ila pamoja na hayo nitaendelea kumsapoti akiwa juve
lakini nmeamua kubaki nyumbani Madrid.
 
Unafkiri watafanyaje zaidi ya kubadili mfumo mzima wa team? Hata wamlete Neymar bado timu haitatulia, kumbuka bado wana Modric na Kroos, miaka miwili mbele au hata mwakani nao wakatimka.
 
The god of modern football!! Ameanzia portugal, akaenda premiar legue akaenda tena la liga!! Sasa kaenda italy!!

Messi yupo tu hapo barca na hatak kutoka maana anajua akitoka amepotea kwenye raman ya mpira...

CR7
Atoke aende wapi kwa mfano?
 
Kwa kuongezea ni kuwa, Barcelona ndio taasisi iliyomlea Messi pamoja na familia yake, kimatibabu, mavazi, maradhi, chakula n.k
 
Madrid ni timu ambayo ipo kibiashara zaidi. Na hata Ronaldo analijua hilo, Casillas sio kwa kuondoka vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…