Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndo hivyo basi Hazard ndo hataweza kabisa maana kufunga hajui, na Mbappe sijui kama anaweza kufunga magoli mengi kama NeymarMashabiki wa madrid wasivyokuwa na uvumilivu, Neymer akileta hizo mbwembwe bila magoli, atakimbia bernabeu mwenyewee
Neymar bishoo sanaNeymar Jr namuona kama bishoo bishoo sana kura yangu nampa Hazard
Halafu zote team zangu ha ha ha haM'musubiri England final j'pili.
Mashabiki wa Barca hao
Akajibemende kwa Maureen?Si angerudi tu OT kwa matajiri wa dunia!
Kwa mpira upi alionao wa kurudi EPL? Lazima aends timu ambayo anajua atashine.Si angerudi tu OT kwa matajiri wa dunia!
Kuondoka kwa Ronaldo strikerz wengine watakubali kwenda Bernabeu.Kuna rumours kwamba Benzema nae anatafuta nyumba ya kuhamia
Hata mimi nmefikiria hivyo ,madrid ameibeba na yeye ikambeba pia.Nahisi kama anaenda kupotea kwenye ramani ya soka, anyway muda utaongea.
mbona wameshahamiaWatahamia Juve mkuu kama walivyotoka Man.
Ha ha haJuzi nilikuwa na rafiki zangu sasa wakaleta maada ya soka nani bora Neymar na Hazard aisee palikuwa hapatoshi.
Neymar vs Hazard.
Mkuu unanizungumzia mimiKunabaadhi ya shabiki wa soka walikuwa hawampendi Cr7 kipindi akiwa Old Trafford alivyohamia Real Madrid wakawa shabiki namba moja Cr7.
Kama watahamia huko alikokwenda haina taabu,ila naamini kunabaadhi ya man united fans walikuwa wanandoto ya Cr7 kurudi OT.
Hadi anaboa mara kujiungusha angusha hovyoNeymar bishoo sana
Atoke aende wapi kwa mfano?The god of modern football!! Ameanzia portugal, akaenda premiar legue akaenda tena la liga!! Sasa kaenda italy!!
Messi yupo tu hapo barca na hatak kutoka maana anajua akitoka amepotea kwenye raman ya mpira...
CR7
Kwa kuongezea ni kuwa, Barcelona ndio taasisi iliyomlea Messi pamoja na familia yake, kimatibabu, mavazi, maradhi, chakula n.kTumia ubongo wako kufikiria.
Unataka messi atoke barca aende wapi?
Timu pekee yenye hadhi ya Messi ni barcelona au Real madrid na ni wazi kabisa hawezi enda Real madrid.
Huko Barcelona Messi amekulia tokea udogoni, analipwa mshahara anaoutaka unataka aende wapi sasa?
Messi ndio kila kitu Barca tofauti na Ronaldo, Messi ndiye mfungaji bora, messi ndiye mtoaji wa assist nyingi zaidi Barca, yaani ndiye Roho ya Timu unataka aisaliti timu yake iliyomlea aende wapi na anapewa kila kitu!!
Wenda anatafuta new challenge. Alafu ujue kwasasa OT yupo mourinho na hawakua wanaelewana walipokua bernabeu...Ronaldo bwana!!kwnn asingerudi OT?!
Madrid ni timu ambayo ipo kibiashara zaidi. Na hata Ronaldo analijua hilo, Casillas sio kwa kuondoka vile.Hawa pro Ronaldo hawawezi kuelewa, kama Cassilas mzawa wa pale Madrid aliondoka kama mbwa bila hata kuagwa kwahyo cr7 kunyimwa mkataba ni kawaida tu kitu ambacho kisingetokea kwa Xavi, INIESTA, Messi au Busquets
Wanataka Messi aondoke sijui akatafute nini ambacho hakipati pale Camp nou
Makombe?
Pesa?
Tuzo?
Heshima?
Loyalty?