Hawa wapuuzi wamechinjana sana.. sisi tumewatunza kama wakimbizi miaka mingi..
Ila wao corona kidogo tu wanatubagua.. na hapo hapo utakuta hawawazuii wachina kuingia rwanda au waitaliano
Hivi sisi nani alitushauri ??!!. Mbona hatuakisi jina letu la Tanzania !!!View attachment 1436238
HALI ILIVYO RWANDA: Dereva wa Lori kutoka #Tanzania haruhusiwi kuvuka Mpaka wa Rusumo ili kuepuka kuingiza Corona nchini humo.
Badala yake; akifika kituo cha Kiyanzi, mzigo wote utapuliziwa dawa kisha atakabidhi Lori kwa dereva wa Rwanda ambaye atalipeleka hadi kituo cha mwisho. Serengeti Post on Twitter
Mfunge paka kengele kama hujatibua mzinga wa nyuki [emoji23][emoji1787][emoji28]You can imagine, wamejaa hapa wanajifanya wahaya, kumbe wametoka huko, janja janja mingi.
Common sense!
Wee jamaa wewe,yaani kama nakuona vile duuh.corona imeleta mambo.We we we ishia hapo hapo,unataka serikali ikose mapato
Kama uliwanza haya ilitakiwa ufuate kanuni za afya za kimataifa....vinginevyo ndio hivyoHapo napata mashaka je mzigo ujipote au gari kuharibika nani atakuwa responsible ku cover hizo garama.
Pili itachukuwa mda gani gari ya huyo davo kurejea boda aliko achwa
Ni rahisi tu utasababisha bandari ya Mombasa ... Beira na zingine kuwa busy na kuwalock down automatically walioambiwa wapige kazi bandari ya DarNingekuwa rais ningepiga marufuku malori ya tz kwenda huko alafu tuone watakula ujeuri wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapakue mzigo mpakanitahadhari muhimu kipndi hiki na wao pia waishie mpakani basi maisha yanaenda..
kuna maisha nje ya corona yanaendelea,corona ni fulsa pia lwa baadhi ya watu.mkorinto,
Waoneni mnavyo waona ila; Wameamua kuwalinda raia wao. Eleweni kuwa weshawafungia mipaka hivyo wewe ka dere patania mzigo hadi mpakani ukiisha ufikisha, rudi home ukalingojee gari lako ukiwa home.
Likiisha rudishwa mpakani, kalichukue. Tamaa ya kumletea tajiri hela nyingi itakuponza ufie huko ka yule mwenzenu. Nasema, mipaka imefungwa kabisaaaa hivyo usitagfute lawama
hapo border mahnd $ mchele bei gan kwa kilo moja?Nipo Rwanda Rusumo boarder naomba nikujibu hivi;
1. Rwanda hawana figisu za kuchakachua mizigo na kupiga minyoka ya mafuta kama bongo. Very disciplined!
2. Gari likiharibika wanawasiliana na mmiliki atapendekeza gerage gani ipelekwe na atalipia kama ambavyo dereva wenu angelipia.
3. Itachukuwa muda ule ule ambayo ingemchukuwa dereva wa Tanzania. 2 to 3 days. Consignments za Rwanda zinakuwa cleared online kabla mzigo haujafika, hakuna urasimu wa kitoto.
Overall; mna uhuru pia kuacha kuleta mizigo, au kufunga mipaka.
Haya ni maamuzi ya HE. PK, HE M7 and HE UK.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo tahira ni nani?Kuna tahira mmoja nilimsikia jana akisema "tusipojifungia wenyewe, watatufungia wao "
Muhimu ni hayo maneno yaliyo kwenye " "