Rasmi sasa mjadala wa nani bora kati Pacome na Chama umefungwa leo

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Hope mko poa wakuu.

Baada ya game ya Simba na wafuga vitambi, na utapiamlo wa makirikiri, ambao walipokea pondo la 6 kwa ungo wa kupetea mchele.

ukaibuka mjadala kwamba kati ya pacome zouzoua na Chama nani bora zaidi kwa sasa?

Nasikitika kwamba tayari mjadala umefungwa rasmi baada ya Uji FC kula kichapo pale jamhuri stadium.

Au bado kuna wabishi?
 
Classsy lilieni classyy..kama Aristote anavyolilia nyumba ziwe na spaaaceee
 
Ni Nani na Kapewa Ruhusa na Nani kuanzisha mijadala ya Kijinga kama huu,... Wakati Mmoja anajitafuta Ili aitwe National team na Mwingine ni tegemeo National team...!

This debate automatically closed..!!
 
Hatutaki tena huu mjadala wa kipuuzi, Pacome aheshimiwe.
Mpira haupo hivyo dadangu

Hii hapa ni lineup ya mechi yenu mliyopoteza.

Huyo mchezaji wenu ambaye mnamfagilia kiukweli mi hapo sijamuona kabisa kwenye line up.

Pengine alikuwa anaumwa siku hiyo ndio maana anatajwa kipekee huwenda amgekuwepo siku hiyo msingefungwa
 
Sijui wanapata wapi nguvu ya kuendelea na mada baada ya hili jibu. Ila Vyura hawakosi mkoromo, watakoroma tu.
Watajibeba tunarusha tuu makombora..mechi moja haiwezi mtoa ubora mtu..na kwanza leo katengeneza njia nyingi ila umaliziaji ndo hakuna..watupisheee...
 
Watajibeba tunarusha tuu makombora..mechi moja haiwezi mtoa ubora mtu..na kwanza leo katengeneza njia nyingi ila umaliziaji ndo hakuna..watupisheee...
Chama ndo mchezaji anayefananishwa na wachezaji wa wanavyura FC kila msimu. Hilo tu linatosha kukuonyesha kuwa wanamkubali.
 
Watajibeba tunarusha tuu makombora..mechi moja haiwezi mtoa ubora mtu..na kwanza leo katengeneza njia nyingi ila umaliziaji ndo hakuna..watupisheee...
Sasa njia bila ya kufika safari ni uchochoro tu mkuu
 
Chama ndo mchezaji anayefananishwa na wachezaji wa wanavyura FC kila msimu. Hilo tu linatosha kukuonyesha kuwa wanamkubali.
Ila Uji FC mna nini lakin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…