fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
anazngua sana yaan anataka kufananisha uji na asaliTena kaandika kwa kujiamini balaa
Kama una akili timamu utagundua hicho sio kikosi namba moja cha timu. Hapo ndio kwa mara ya kwanza Gamondi alifanya rotation ambayo iliigharimu timu.Mpira haupo hivyo dadangu
Hii hapa ni lineup ya mechi yenu mliyopoteza.
View attachment 2926546
Huyo mchezaji wenu ambaye mnamfagilia kiukweli mi hapo sijamuona kabisa kwenye line up.
Pengine alikuwa anaumwa siku hiyo ndio maana anatajwa kipekee huwenda amgekuwepo siku hiyo msingefungwa
Sababu tuna kina Chama wengiChama ndo mchezaji anayefananishwa na wachezaji wa wanavyura FC kila msimu. Hilo tu linatosha kukuonyesha kuwa wanamkubali.
Ukitaka kuandika vitabu vya hadithi za hekaya za Vyura utapata toleo za kutosha.Ila Uji FC mna nini lakin
nmelia sana msameheniiiππUwehu umemjaa
na fainaliUkitaka kuandika vitabu vya hadithi za hekaya za Vyura utapata toleo za kutosha.
1. Hekaya za Vyura kufika robo na kuzimia, 2.Hekaya za Vyura na usajili wa Chama,
3. Hekaya za Vyura na blitch,
4. Hekaya za mama J wa vyura,
5. Hekaya za vyura na majini ya mayele.
6. Hekaya za vyura ........
7. Hekaya za vyura .......
Endelea.
Chama ni mmoja tu. Hao wa kwenu ni wa kujifananisha nae kutegemeana na kiwango cha mwezi husika.Sababu tuna kina Chama wengi
Kikosi namba moja kiliathiriwa na wachezaji wangapi ambao walikuwa ingizo jipya?Kama una akili timamu utagundua hicho sio kikosi namba moja cha timu. Hapo ndio kwa mara ya kwanza Gamondi alifanya rotation ambayo iliigharimu timu.
Licha ya yote, alifunga goli pekee kwa timu, huyo mwingine sijui kafunga goli leo? Nifahamishe.
Ndio nani?Classsy lilieni classyy..kama Aristote anavyolilia nyumba ziwe na spaaaceee
Aheshimiwe vipi kule mbarali mlikotolewa bikra pacome hakuwepo?Hatutaki tena huu mjadala wa kipuuzi, Pacome aheshimiwe.
Hivi anaye itwa national team ya Somalia sawa na wa national team ya Egypt, kwa mfano?Ni Nani na Kapewa Ruhusa na Nani kuanzisha mijadala ya Kijinga kama huu,... Wakati Mmoja anajitafuta Ili aitwe National team na Mwingine ni tegemeo National team...!
This debate automatically closed..!!
Alikuwepo kwenye ile ya [emoji2772]Kwani mechi ya uto na ihefu pacome hakuwepo kule mbarali?
Ile ya kutolewa bikra mbarali?Alikuwepo kwenye ile ya [emoji2772]
Pacome angekuwa Mzambia asingeitwa??πNi Nani na Kapewa Ruhusa na Nani kuanzisha mijadala ya Kijinga kama huu,... Wakati Mmoja anajitafuta Ili aitwe National team na Mwingine ni tegemeo National team...!
This debate automatically closed..!!
Dirty minds hua zinawaza ujinga tuIle ya kutolewa bikra mbarali?
Tegemeo?ππ This has to be a joke, hata afcon uliangilia? Kuna game hata Moja kaanza, au ndo uliangalia vs tz aliyotokea benchNi Nani na Kapewa Ruhusa na Nani kuanzisha mijadala ya Kijinga kama huu,... Wakati Mmoja anajitafuta Ili aitwe National team na Mwingine ni tegemeo National team...!
This debate automatically closed..!!
umeisha kabisaHope mko poa wakuu.
Baada ya game ya Simba na wafuga vitambi, na utapiamlo wa makirikiri, ambao walipokea pondo la 6 kwa ungo wa kupetea mchele.
ukaibuka mjadala kwamba kati ya pacome zouzoua na Chama nani bora zaidi kwa sasa?
Nasikitika kwamba tayari mjadala umefungwa rasmi baada ya Uji FC kula kichapo pale jamhuri stadium.
Au bado kuna wabishi?