Rasmi sasa mjadala wa nani bora kati Pacome na Chama umefungwa leo

Rasmi sasa mjadala wa nani bora kati Pacome na Chama umefungwa leo

Mpira haupo hivyo dadangu

Hii hapa ni lineup ya mechi yenu mliyopoteza.

View attachment 2926546

Huyo mchezaji wenu ambaye mnamfagilia kiukweli mi hapo sijamuona kabisa kwenye line up.

Pengine alikuwa anaumwa siku hiyo ndio maana anatajwa kipekee huwenda amgekuwepo siku hiyo msingefungwa
Kama una akili timamu utagundua hicho sio kikosi namba moja cha timu. Hapo ndio kwa mara ya kwanza Gamondi alifanya rotation ambayo iliigharimu timu.

Licha ya yote, alifunga goli pekee kwa timu, huyo mwingine sijui kafunga goli leo? Nifahamishe.
 
Ila Uji FC mna nini lakin
Ukitaka kuandika vitabu vya hadithi za hekaya za Vyura utapata toleo za kutosha.

1. Hekaya za Vyura kufika robo na kuzimia, 2.Hekaya za Vyura na usajili wa Chama,
3. Hekaya za Vyura na blitch,
4. Hekaya za mama J wa vyura,
5. Hekaya za vyura na majini ya mayele.
6. Hekaya za vyura ........
7. Hekaya za vyura .......

Endelea.
 
na fainali
 
Kama una akili timamu utagundua hicho sio kikosi namba moja cha timu. Hapo ndio kwa mara ya kwanza Gamondi alifanya rotation ambayo iliigharimu timu.

Licha ya yote, alifunga goli pekee kwa timu, huyo mwingine sijui kafunga goli leo? Nifahamishe.
Kikosi namba moja kiliathiriwa na wachezaji wangapi ambao walikuwa ingizo jipya?

By the way hao wanaokamilisha namba moja hawakupata nafasi ya kucheza kubadilisha matokeo?

Pacome kufunga haibadili maana kuwa hamkufungwa.

1709754791548.png

Hiki nacho kilikuwa ni kikosi namba ngapi mbona mlifungwa kwa matokeo yaleyale?
 
Ni Nani na Kapewa Ruhusa na Nani kuanzisha mijadala ya Kijinga kama huu,... Wakati Mmoja anajitafuta Ili aitwe National team na Mwingine ni tegemeo National team...!

This debate automatically closed..!!
Tegemeo?😃😃 This has to be a joke, hata afcon uliangilia? Kuna game hata Moja kaanza, au ndo uliangalia vs tz aliyotokea bench

Chama Zambia kwenye namba yake tu yupo 3rd pecking order akisugua bench akiwapisha mtabe kings kangwa ndo anaanza namba yake.... Alafu akitoka hapo rally bwalya anafata... Chama kuanza mpaka awaloge hao wao majeuhi
 
Hope mko poa wakuu.

Baada ya game ya Simba na wafuga vitambi, na utapiamlo wa makirikiri, ambao walipokea pondo la 6 kwa ungo wa kupetea mchele.

ukaibuka mjadala kwamba kati ya pacome zouzoua na Chama nani bora zaidi kwa sasa?

Nasikitika kwamba tayari mjadala umefungwa rasmi baada ya Uji FC kula kichapo pale jamhuri stadium.

Au bado kuna wabishi?
umeisha kabisa
 
Back
Top Bottom