Rasmi sasa mjadala wa nani bora kati Pacome na Chama umefungwa leo

Rasmi sasa mjadala wa nani bora kati Pacome na Chama umefungwa leo

Hope mko poa wakuu.

Baada ya game ya Simba na wafuga vitambi, na utapiamlo wa makirikiri, ambao walipokea pondo la 6 kwa ungo wa kupetea mchele.

ukaibuka mjadala kwamba kati ya pacome zouzoua na Chama nani bora zaidi kwa sasa?

Nasikitika kwamba tayari mjadala umefungwa rasmi baada ya Uji FC kula kichapo pale jamhuri stadium.

Au bado kuna wabishi?
makolo walivyo wabishi,itatokea tu hapa ki game chepesi chepesi atapiga watu wenye vitambi na makengeza matobo wataanza kupiga makelele tena
 
Tegemeo?😃😃 This has to be a joke, hata afcon uliangilia? Kuna game hata Moja kaanza, au ndo uliangalia vs tz aliyotokea bench

Chama Zambia kwenye namba yake tu yupo 3rd pecking order akisugua bench akiwapisha mtabe kings kangwa ndo anaanza namba yake.... Alafu akitoka hapo rally bwalya anafata... Chama kuanza mpaka awaloge hao wao majeuhi
Sawa,Chama yuko namba 8 kwa wafungaji bora wa muda wote Champions league,huyo Pacome yuko namba ngapi?
 
Back
Top Bottom