Rasmi sasa NATO sebuleni mwa Urusi, Uturuki iliyokuwa inazingua yaachia Finland

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Uturuki ilikuwa inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakuwa kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.

Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni kilomita 1,340km yaani hapo ni kama kutokea Dar mpaka kwa Kagame nyumbani, au Dar hadi unapitiliza Kigoma.

Urusi ilijaribu kuparamia Ukraine kisa hao Ukraine walionyesha dalili za kujiunga NATO, eti Urusi haikutaka kujongelewa na NATO, haya sasa NATO inapumulia shingoni, mgongoni, makalio na mpaka miguu ya Urusi....eat that waumini wa Putin...mliyataka wenyewe....mngetulia hayangefika huku...kama vipi bonyezeni vitufe vya nyuklia muone mtakavyofutwa
===============

Late Thursday night, Turkey's Parliament ratified the protocol on Finland's accession to the Atlantic Alliance, which means that Helsinki now has the approval of all NATO allies.

After an intense session in the Turkish Grand National Assembly that lasted for hours, well into the night, Turkish parliamentarians gave the 'green light' to Finland's accession to NATO, the Anadolu news agency reported.

With this vote and following similar steps taken earlier this week by the Hungarian Parliament, Finland has now received the favorable vote of all the member states of the Atlantic Alliance, which places the Scandinavian country on the doorstep of joining the bloc.

Once all Alliance members and candidates have approved the accession protocols, the approved documents must be sent to the United States, where they are deposited with the government. The applicant country only becomes a NATO member when Washington has all the documents.

Uturuki ilikua inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakua kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya....
Kwani dini ya waturuki na hao warusi unaowachukia kila siku kuwafungulia uzi zinafana?? Hapa ndo unapofeli siku zote kubwa jinga!! Kwanini unapenda kuhusisha dini kwenye mgogoro huu??
 
Bado unaimani kua NATO wanauwezo wakupanga mkono na Russia...kumbuka NATO wanatolewa kinyesi na Wagner Group

Hapo NATO kuna mataifa yenye uwezo wa kuigaragaza Urusi bila hata ya kutegemea muungano wowote, yaani Urusi hii ambayo imeteswa na kataifa jirani, wameishiwa hadi hata JWTZ ikijitutumua inawafumua leo, walichosalia nacho ni manyuklia tu.
 
Finland siyo tatizo kwa Uturuki! Tatizo la Uturuki ni Sweden ambayo inawahifadhi wapinzani ambao Uturuki inawaona ni magaidi.

Sasa mbona ilikuwa imekazia Finland muda wote huo....
Kwetu sisi Sweden sio issue maana haichangii mpaka na Urusi....tunataka Mrusi apumuliwe shingoni.
 
Uturuki ilikua inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakua kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.

Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni kilomita 1,340km yaani hapo ni kama kutokea Dar mpaka kwa Kagame nyumbani, au Dar hadi unapitiliza Kigoma.

Urusi ilijaribu kuparamia Ukraine kisa hao Ukraine walionyesha dalili za kujiunga NATO, eti Urusi haikutaka kujongelewa na NATO, haya sasa NATO inapumulia shingoni, mgongoni, makalio na mpaka miguu ya Urusi....eat that waumini wa Putin...mliyataka wenyewe....mngetulia hayangefika huku...kama vipi bonyezeni vitufe vya nyuklia muone mtakavyofutwa
===============

Late Thursday night, Turkey's Parliament ratified the protocol on Finland's accession to the Atlantic Alliance, which means that Helsinki now has the approval of all NATO allies.

After an intense session in the Turkish Grand National Assembly that lasted for hours, well into the night, Turkish parliamentarians gave the 'green light' to Finland's accession to NATO, the Anadolu news agency reported.

With this vote and following similar steps taken earlier this week by the Hungarian Parliament, Finland has now received the favorable vote of all the member states of the Atlantic Alliance, which places the Scandinavian country on the doorstep of joining the bloc.

Once all Alliance members and candidates have approved the accession protocols, the approved documents must be sent to the United States, where they are deposited with the government. The applicant country only becomes a NATO member when Washington has all the documents.

Mpaka mzima wa Finland na Russia ni urefu wa kilomita 1340 (maili 832) utasemaje ni sebuleni.

Na Finland walianza kujenga ukuta kuuzunguka mpaka na ujenzi huo utachukua miaka 3 au 4.

Uzio huo ni wa kilomita 200 ambazo ni sehemu ndogo ya mpaka kuvuka kwenda kila upande yaani sehemu yaitwa Imatra.
 
Niseme tu kuwa kila kitu Urusi inachofanya ni calculated. Hata kuivamia Ukraine ilikuwa calculated. Mnadhani kwa nini Urusi hakuivamia Ukraine hapo awali hadi kavamia sasa. Haya yote aliyajua na alijiandaa kukabiliana nayo kisawasawa. Hata misaada anayopewa Ukraine Urusi alijua kabla kuwa akivamia tu lazima NATO itamuunga mkono Ukraine indirectly. Ndiyo maana mwanzo Urusi ilivamia Ukraine kwa kasi kabla ya Ukraine haijapokea hiyo misaada bahati mbaya ile meli yake ya Kisoviet ilipozama ndiyo akaamua apunguze mashambulizi na malengo.

Na hadi leo Urusi hajatumuia kiasi kikubwa cha tekinolojia yake ya juu sababu anajua mwanzo na mwisho wa vita hii. Na Ndiyo maana hujaskia kuwa Warusi wanakufa na njaa au Urusi imeomba msaada wa chakula kwa ajili ya watu wake mbali na kuwekewa vikwazo lukuki. Maana yake ni kuwa Mrusi anajua alichokianzisha na anajua jinsi atakavyo maliza mission hii.

Km NATO itaingia moja kwa moja ktk vita hii basi hii vita itajulikana mwisho wake mapema maana ni dhahiri itakuwa WWW3. Sasa hapo unategemea nini km siyo kuomba tu Mungu atunusuru. NATO Ina nchi nyingi lakini baadhi yake uchumi na sayansi yake ni ndogo lakini Russia ana backups ya nchi chache lakini uchumi wake na sayansi yake iko juu. Hapo sasa.
 
Mtaandika hizi nadharia na insha lakini ndio ashaliwa hivyo, kiukweli NATO ilikua imefifia ila kaipa muamka mpya kwa ujinga alioufanya, ameangukia pua, sasa kila taifa linataka kujiunga NATO kuepuka kunyanyaswa na Urusi, yaani Putin anaisababisha nchi yake kubaki mpweke na kuonwa kama shetwani, halafu Mchina anaifyonza Urusi hadi mifupa.
 
Uturuki ilikua inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakua kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.

Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni kilomita 1,340km yaani hapo ni kama kutokea Dar mpaka kwa Kagame nyumbani, au Dar hadi unapitiliza Kigoma.

Urusi ilijaribu kuparamia Ukraine kisa hao Ukraine walionyesha dalili za kujiunga NATO, eti Urusi haikutaka kujongelewa na NATO, haya sasa NATO inapumulia shingoni, mgongoni, makalio na mpaka miguu ya Urusi....eat that waumini wa Putin...mliyataka wenyewe....mngetulia hayangefika huku...kama vipi bonyezeni vitufe vya nyuklia muone mtakavyofutwa
===============

Late Thursday night, Turkey's Parliament ratified the protocol on Finland's accession to the Atlantic Alliance, which means that Helsinki now has the approval of all NATO allies.

After an intense session in the Turkish Grand National Assembly that lasted for hours, well into the night, Turkish parliamentarians gave the 'green light' to Finland's accession to NATO, the Anadolu news agency reported.

With this vote and following similar steps taken earlier this week by the Hungarian Parliament, Finland has now received the favorable vote of all the member states of the Atlantic Alliance, which places the Scandinavian country on the doorstep of joining the bloc.

Once all Alliance members and candidates have approved the accession protocols, the approved documents must be sent to the United States, where they are deposited with the government. The applicant country only becomes a NATO member when Washington has all the documents.

Na vita ipo huko Finland, Ukraine inaisha mda si mrefu ndugu hawawezi malizana,,, adui wa kweli anakuja
 
Sasa mbona ilikua imekazia Finland muda wote huo....
Kwetu sisi Sweden sio issue maana haichangii mpaka na Urusi....tunataka Mrusi apumuliwe shingoni.
Mkuu usitegemee hilo! Itachukua miaka mingi kwa US na NATO kufikia lengo hilo. Kutokana na hilo sasa tegemea Russia kuweka Silaha za Nuklia za kutosha kwenye mpaka wake na Finland.
Russia siyo Iraq,wala siyo Afghanstan,wala siyo Libya,wala siyo Yugoslavia,nk
 
Uturuki ilikua inazingua hadi wengi tukawa tunajiuliza ipo kwa maslahi ya nani, wengi walishuku itakua kiaina misimamo yao inaongozwa kidini dhidi ya Marekani kimya kimya.

Hatimaye wameachia, Finland sasa inaelekea kuwa mwanachama wa NATO, ikumbukwe urefu wa mpaka wa Finland na Urusi ni kilomita 1,340km yaani hapo ni kama kutokea Dar mpaka kwa Kagame nyumbani, au Dar hadi unapitiliza Kigoma.

Urusi ilijaribu kuparamia Ukraine kisa hao Ukraine walionyesha dalili za kujiunga NATO, eti Urusi haikutaka kujongelewa na NATO, haya sasa NATO inapumulia shingoni, mgongoni, makalio na mpaka miguu ya Urusi....eat that waumini wa Putin...mliyataka wenyewe....mngetulia hayangefika huku...kama vipi bonyezeni vitufe vya nyuklia muone mtakavyofutwa
===============

Late Thursday night, Turkey's Parliament ratified the protocol on Finland's accession to the Atlantic Alliance, which means that Helsinki now has the approval of all NATO allies.

After an intense session in the Turkish Grand National Assembly that lasted for hours, well into the night, Turkish parliamentarians gave the 'green light' to Finland's accession to NATO, the Anadolu news agency reported.

With this vote and following similar steps taken earlier this week by the Hungarian Parliament, Finland has now received the favorable vote of all the member states of the Atlantic Alliance, which places the Scandinavian country on the doorstep of joining the bloc.

Once all Alliance members and candidates have approved the accession protocols, the approved documents must be sent to the United States, where they are deposited with the government. The applicant country only becomes a NATO member when Washington has all the documents.

Lile tetemeko lilituma ujumbe mahsusi kwa serikali ya Uturuki.

Waliosoma Pakistan wamenielewa
 
Back
Top Bottom