Unaishi Dunia hii au uko Dunia tofauti,Dollar imekua lini chefu chefu? Ngoja nikwambie ndugu yangu kuitoa Dollar kwenye mfumo wa malipo itachukua hata miaka 30,Kwa sababu zaidi 65% ya foreign reserve ya nchi nyingi ni Dollar the rest ndio unakuta madini na fedha nyingine kama Euro,Pound,Yen au Yuan ya kichina.Hakuna nchi inaweza hatarishi uchumi wake Kwa kuiangamiza Dollar ghafla,ndio maana hata mrusi mwenye kakumbatia Dollar kama mtoto mchanga pamoja na kutoipenda.Warusi hawarusiwa kutoa nje ya Urusi kiwango kinachozidi Dollar 10000.