Asipokuelewa na hapa mchape kibao.Unaishi Dunia hii au uko Dunia tofauti,Dollar imekua lini chefu chefu? Ngoja nikwambie ndugu yangu kuitoa Dollar kwenye mfumo wa malipo itachukua hata miaka 30,Kwa sababu zaidi 65% ya foreign reserve ya nchi nyingi ni Dollar the rest ndio unakuta madini na fedha nyingine kama Euro,Pound,Yen au Yuan ya kichina.Hakuna nchi inaweza hatarishi uchumi wake Kwa kuiangamiza Dollar ghafla,ndio maana hata mrusi mwenye kakumbatia Dollar kama mtoto mchanga pamoja na kutoipenda.Warusi hawarusiwa kutoa nje ya Urusi kiwango kinachozidi Dollar 10000.
Bakhmut bado haijatekwa tu?Mkuu toka uliposikia Wagner wako Bakhmut wanautaka huu kamji kadogo je umewahi sikia Bakhmut ipo chini ya russia? kazi inaendelea hem fuatilia jana juzi mpaka mjomba wako putin ametangaza kuongeza wanajeshi bakhmut ivi bado hujapa jibu tu? wanaliwa vichwa jamaa zako
Mara ngapi tulimuona Biden amevalia covid masks adhalani - na hapo tusemeje?? Kwamba ni mwoga au jasiri!!Kuna mwanadiplomasia mmoja wa usa alitoa uchambuzi wake kuhusu Putin kutumia nukes.
Alisema kwa kiongozi aina ya Putin ambaye hutumia meza ndeeeeeefu kwenye mazungumzo kujitenga na anayezungumza nae kama ishara ya kuogopa maambukizi au kifo......haoni kama Putin ataweza kutumia nukes zaidi ya mikwara tu.
Hapa alimaanisha kwamba hata yy Putin anajua madhara ya nukes kwa nchi yake, once anaamua kutumia nukes na wenzake wata respond accordingly hivyo kupelekea Taifa lake kuangamia.
Sasa Kama covid tu unaiogopa vile vp nukes iliyoboreshwa ikitua chumbani kwako?
Biden hakuwahi kutishia kutumia nuclear.Mara ngapi tulimuona Biden amevalia covid masks adhalani - na hapo tusemeje?? Kwamba ni mwoga au jasiri!!