Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)



Ukitumia broka haufanyi forex bali unafanya gambling kwa sababu hakuna sehem ile hela umedeposit inaenda, kwa ufupi ukiweka ela kwa broka haufanyi forex bali betting na outcomes za hio betting ndo ztaamua broka afilisike ama wewe ufilisike, bahati mbaya watu wamepotoshwa na wingu la broka kwa kuweka maslahi y biashara mbele but ile sio forex ni gambling
 
soko la forex halipo na haliwezi kuwepo kwa sababu forex ni makubaliano na sio soko la pamoja, ukinunua dolq kupitia vodacom utauzia kwa rate yao same ukinunua crdb utauziwa kwa rate yao, likewise ukienda BOT utapewa rate tafaut, process goes on mpaka kwa byuro de change, hakunag kitu kama soko la forex hio ni lugha yq biashara kuwajaza kwenye platform za mabroka,
 
mabroka hawana uhusiano wowote na forex biashara ya forex haiwahusu, wanaotrade forex ni central banks peke yake na hedge funds wengine wote ni matapeli wa forex, central bank wanatrade forex sio kwa ajili ya kupata faida bali kubalance mahesabu yao, wao ndo wenye volume kubwa zaidi, hedge funds wanatrqde forex as a mean to balance portofolio zao which later turns to profit, zpo pair nyingi sana hazina broka na zna rate mfano KSHTSH, UGXTSH hakuna broka anatoa hii pair but rates hubadilika kila sku, hii uelewe kwamba hakuna kitu kinaitwa forex market
 
hio ni documented however the logic goes to all people, unajua hatukatazi watu wafanye forex however tunatamani watu wajue ukwel wa mambo, wapo watu wanaotumia hii platform vibaya kwa kufundisha, tunataman watu wajue kabisa forex amna hela
 
Mwalimu hebu nenda Google kwanza ukajieleweshe maana ya ya Financial Market ni nini na ina utofauti gani na aina nyingine za market na je uwepo wa broker Sokoni una disqualify maana halisi ya soko.
Nakwambia kagoogle maana sipendi kupoteza.muda na mtu anaeng'ang'ania ujinga.
 




Market (soko) by definition ni sehemu yeyote ambayo watu wanakutana na kuuza bidhaa. Soko la samaki feri, mnada wa korosho (somewhere in Mtwara) etc. Kwa ivyo forex market ni mahala ambapo watu wanauza na kununua forex (trading platforms).



Trading platforms za forex ndio brokers (kwa sababu unalipa commission kutumia) once you trade.

What influence prices ni pairs ambazo kuna central system in record international forex transaction (this is where it gets complicated to understand, honestly you need a book for that).

The entire thing is based on speculation for traders, you only improve you chances by taking an educated guess given the current driving factors news reports. Na main major pairs ambazo utapata info zake labda Yen/Dolla, EURO/Dollar, Pound/Dollar.

Ukienda huko kwenye pairs za hovyo kama tsh/ksh, tsh/naira wakati hakuna information za driving factors muhimu zinazo influence kupanda na kushuka kwa currency na commerce trade yenyewe ni ndogo sana, maana yako pia ku-trade kwenye pair kama hizo ni sawa na kutupa hela yako chooni.
 
Wewe ni mjinga na upo Shallow sana ndugu yangu na kingereza chako cha kuunga unga ,Narudia wewe ni mjinga kama umeshindwa hata kujua Roles za central banks kwenye money exchange.

Kama hakuna kitu kinachoitwa Forex Market je thamani ya currency inakuwa determined vipi in real time ,Shida yako ukisikia soko unadhani ni Soko la Kariakoo, Soko kwenye mambo ya financial ni system sio mazingira bro , JITATHIMINI.
Kaangalie series moja inaitwa the Wolf of wall street unaweza kupunguza ujinga.
 
Huyo jamaa asome hapa ataelewa kidogo angalau
 
sasa si ushukuru ata nmekutoa tongo tongo maana wajinga wako wengi na wako proud, turudi kwenye maswali yako
1) Central bank hafanyi biashara na hana huo uwezo, central bank akifanya biashara basi pesa ya nchi inakufa, lets say BOT wanatak kutrade USD NA TSH akifanya ivo atalalia upande wa faida ikiwemo kusell reserve zote za TSH abaki na USD zenye faida, madhara yake ni TSH kufa mazima!

2) PESA INATOA WAP THAMANI: swali zuri, ukimuuliza mtu wa uchumi atakwambia supply and demand, na kuna kaukwel however rates zote zko controlled, nchi yako ikiwa inaexport sana basi thamani inapanda this is true kwa nchi zilizoweka uzito sana kwenye mafuta , however kwa wale wene uzoefu wa hii mifumo ukweli ni kwamba izi rates ni FLOATING hazina uhalisia wowote, ingekua ni free market ningeweza kubadilisha pesa kutoka TSH kwenda UGX then USD then back to tZS kwa sababu supply and demand za tz na uganda zko tafauti however you will land in a loss
 
uzuri skulazimishi kuamini na sio sheria, utaamua mwenyewe
 
Huyo jamaa asome hapa ataelewa kidogo angalau
wewe ndo ulitakiwa ukasome apo unadhan broka anadeal na forex, jamaa wako ameshaeelezea vizuri
The entire thing is based on speculation for traders, you only improve you chances by taking an educated guess given the current driving factors news reports. Na main major pairs ambazo utapata info zake labda Yen/Dolla, EURO/Dollar, Pound/Dollar.

Jamaa wako ameelezea vizuri kabisa, tatizo vijana ujuaji mwingi, mkishajua kugoogle basi kila kitu mnajua, mambo hayaendi ivo
 
Nimechoka kukuelewesha mkuu , umeshindwa hata kujua swali langu linataka nini, nimekuuliza tunajua vipi price ya currency flani in real - time, wewe umeenda moja kwa moja kwenye demand and supply..

Haya mwanafunzi jibu hili pengine utaelewa. Je ikitokea unataka kujua Demand au Supply ya Dollar muda wowote ule ni wapi utaenda kuangalia??.
 

unatakiwa ujifunze kusoma kuelewa na sio kusoma kubisha, nmekwambia hilo swali lina majibu kutoka makundi 2 na yote yanaweza kua sawa kwa uzito flan, ukimuuliza mchumi atakwambia supply and demand na kuna kaukwel ndan yake kadogo lakini kwa wanaoelewa undan wa financial system za dunia hicho kitu hakipo, uwe unajifunza kusoma kuelewa, majibu yako ya watu 2 tafauti


Tatizo lenu mkishajua kugoogle mnakua much know
 
Wewe unajua jua , yaani concepts unazo shida ni kwamba upo Shallow , Unaonekana umesoma soma huko google na kusimuliwa .

mm wala sihitaji izo compliment kijana, nnachosema ndo uhalisia wa uchumi wa dunia its upto youukitaka kuelimika sawa, ukitaka kuendelea kukaza wewe tu
 

hakuna pair ya hovyo, TSHKSH iko the same same kama EURUSD, trading haifanyiki kwa sababu ya kupata faida bali iafanyika kubalance mahesabu, trading haifanyiki kwa broka inafanyika kwenye central bank ya nchi husika broka hio ni biashara ya watu wengine nani story tafauti, rate ya KSHTSH daily inamove this means there is an activity going on within the pair
 
Unaelewa maana ya broker ,broker ni mtu wa kati sasa kama anayobidhaa ya kukupa then atakuwa anajidalalia mwenyewe,broker ye anakuonyesha mali anapata percent basi
 
Unaelewa maana ya broker ,broker ni mtu wa kati sasa kama anayobidhaa ya kukupa then atakuwa anajidalalia mwenyewe,broker ye anakuonyesha mali anapata percent basi
Hakunaga kitu kama forex broka pale mmepigwa, forex market haipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…