Ahsante kwa Mtazamo wako.
- My
Time-Frame ni kama ifuatavyo:
1. Weekly/Daily :
Overall Bias (Ambapo naongozwa na COT weekly Data + Price Action OCHL) Kwa COT Data huwa naweka update hapa:
Special Thread: COT Data Analysis & Trading Signals
2. H4/H1:
Entry Bias Confirmation:
View attachment 3007452
Ukiangalia Image utaona: Nina option ya three TF: Ila kwa sasa nime only H4
3.
Actual Entry: Huwainafanyika kwenye
M5/M15 Chart, Lengo ni kupata optimal entry price itakayoniwezesha kuwa na SL isiyozidi 15-20pips.
NB: Ukiona najadili M5/M15 lama mfano, tambua kazi ilishafanyika na kukamilika kwenye higher TimeFrame,
Iwapo una hoja nyingine, Karibu tujadili.