Utoto Raha aisee , Shida yako unataka kuonyesha unajua na huo mchezo wa kitoto wa kushindana nani anajua zaidi sina, Mkuu Unajua kila kitu Chukua Kombe[emoji471].alafu mbna unazunguka sana swali limekushinda ama? kama limekushinda tufunge tu mjadala mambo yasiwe mengi
Actually yes swali lililenga kupata uelewa wako wa financial markets kwa ndan wake na ni swali dogo sana, unadhan bila haya maswali ungeelewaje kwamba nachosema nna uhakika nacho na wewe pia sometimes jitahidi kua mwelewa, hii dunia sio nyepesi kama unavodhan kwamba kuna mtu anakupenda sana anakupa details kwenye vitabu 😂 😂 , the world isnt that easy! Ungekua unapenda kujua zaidi kingekupiga brashi ila sasa ndo ivo ujuaji mwingi swali jepesi unaanza kuliaUtoto Raha aisee , Shida yako unataka kuonyesha unajua na huo mchezo wa kitoto wa kushindana nani anajua zaidi sina, Mkuu Unajua kila kitu Chukua Kombe[emoji471].
Hii ni mpk uwe na elimu ya kutosha sana,sio kuingia tuKuna mwana anakula Maisha sanaa kazi yake ni Forex tu sasa sijui ni kweli au kuna ishu zingine behind the scene..
No chance unaweza kufanikiwa in forex kwa kutumia 15m chart, minimum daily chartView attachment 2586209
Fungua m15 chart | CADJPY, CADCHF | Kisha angalia entry price, Angalia projected TP price.
Ni hayo tu.
- Inatakiwa ufike mahala ujue nini ambacho unakosea,
- Nini ambacho unazani kinakurudisha nyuma.
Ahsante kwa Mtazamo wako.No chance unaweza kufanikiwa in forex kwa kutumia 15m chart, minimum daily chart
Knowledge halafu inafuatia experience ,financial markets are complex systems influenced by a multitude of factors, Nadharia inaweza kukuambia price iki retest resistance point itakuwa Shorted to a certain point but experience inakuambia ni falsified retest kutokana na Dynamic factor za uchumi.Hii ni mpk uwe na elimu ya kutosha sana,sio kuingia tu
Wewe ni kielelezo cha mfano wa Dunning-Kruger effect.Actually yes swali lililenga kupata uelewa wako wa financial markets kwa ndan wake na ni swali dogo sana, unadhan bila haya maswali ungeelewaje kwamba nachosema nna uhakika nacho na wewe pia sometimes jitahidi kua mwelewa, hii dunia sio nyepesi kama unavodhan kwamba kuna mtu anakupenda sana anakupa details kwenye vitabu [emoji23] [emoji23] , the world isnt that easy! Ungekua unapenda kujua zaidi kingekupiga brashi ila sasa ndo ivo ujuaji mwingi swali jepesi unaanza kulia
anyway no need kuendelea na kelele zisizo na faida ushashindwa swalWewe ni kielelezo cha mfano wa Dunning-Kruger effect.
No chance unaweza kufanikiwa in forex kwa kutumia 15m chart, minimum daily chartinatenm
Hakuna right or wrong katika trading na kuna millions ways to trade, if you are making money stick with itAhsante kwa Mtazamo wako.
- My Time-Frame ni kama ifuatavyo:
1. Weekly/Daily : Overall Bias (Ambapo naongozwa na COT weekly Data + Price Action OCHL) Kwa COT Data huwa naweka update hapa: Special Thread: COT Data Analysis & Trading Signals
2. H4/H1: Entry Bias Confirmation:
View attachment 3007452
Ukiangalia Image utaona: Nina option ya three TF: Ila kwa sasa nime only H4
3. Actual Entry: Huwainafanyika kwenye M5/M15 Chart, Lengo ni kupata optimal entry price itakayoniwezesha kuwa na SL isiyozidi 15-20pips.
NB: Ukiona najadili M5/M15 lama mfano, tambua kazi ilishafanyika na kukamilika kwenye higher TimeFrame, Iwapo una hoja nyingine, Karibu tujadili.
Hakuna right or wrong katika trading na kuna millions ways to trade, if you are making money stick with it
Okay!, Rudia kusoma x3 ulichokiandika, awali na sasa, kisha jitafakari.No chance unaweza kufanikiwa in forex kwa kutumia 15m chart, minimum daily chart
Sio kwamba umekosea thread."Raisi samia amejiondoa rasmi
Unataka debate😂Okay!, Rudia kusoma x3 ulichokiandika, awali na sasa, kisha jitafakari.
Are you making money? ForexOkay!, Rudia kusoma x3 ulichokiandika, awali na sasa, kisha jitafakari.
Are you making money? Forex
Bahati mbaya, Sina huo muda.Unataka debate😂
need help with trading bots? I can build you one for freeBahati mbaya, Sina huo muda.
Kwa sasa nafanyia optimization my trading tools.
View attachment 3007913
Wewe bado lots zako ni ndogo sana, mimi nasukuma mizigo mizito