Rasmi sasa nimejiondoa katika biashara ya foreign exchange (forex)

we vp umetoboa?
 
Huwez kijana
 
Nakupa id hapa
Account ID:2001964057

Name of brokerJustforex
 
Expose hapa mda huu

wala usijali ila nataka nkutumie kama sample hili zoezi tushafanya na watu wengi wa forex umu wengine hadi kwenye huu uzi wamo, ila nataka sasa wewe uwe sample kwa wengine ili izi, kelele ziishe, ni rahisi unajua kutumia smart contract? nlikua nmepanga kukupa USDT 800 ila naongeza nakupa USDT 1000, sasa basi nataka uweke kwa upande wako USDT 800 TU, ili uwe fundisho kwa wengine nkishaweka history yako apa
 
stakehigh umekimbia πŸ–•πŸ–•
mm npo online kila sku mwaka mzima, twende kazi, weka 800 upande wako naweka 1000, then ntaepxose history yako apa na ikitokea umeweza kupata faida ya kuishi kila mwezi basi unachukua USDT za 1000 na graph ikilala kwenye loss unipe tu USDT zangu 800 mapema
 
We jamaa ni muhuni tu.. Rejelea kauli yako hiiπŸ‘‡πŸ‘‡
you dont need ata kufanya all those and i have said this over and over again, ukifungua akaunti kwa broker ya mt4 unapewa kitu kinaitwa ACCOUNT_ID ama just ID, nipe tu hio then ntakusaidia kukuwekea trading history yako apa, na sio hio tu i said again yoyote anaedhan anaishi kwa forex trading ntakupa USDT 800, now kazi kwako! na ukiona vp unaweza jiunga na wenzako wote mkaunganisha trading history zenu kama bonus nmekupa

- kingine izo saikology, fundamental, tekiniko, sentimental usiishi kama unazijua peke yako, yaaani unafanya the same shit everyone else is doing but unataka wewe ndo upate different results, dont you see kuna sehem nati zmelegea kichwan?

- markets hazifuati any anlysis mnafanya, its no suprise a support level is broken and you make a loss, its because no big trader does your shit mnaforce kitu hamkielewi, if everyone was to follow your shit then the global market would have been dead mda mrrefu sana,
 
stakehigh you dont need ata kufanya all those and i have said this over and over again, ukifungua akaunti kwa broker ya mt4 unapewa kitu kinaitwa ACCOUNT_ID ama just ID, nipe tu hio then ntakusaidia kukuwekea trading history yako apa, na sio hio tu i said again yoyote anaedhan anaishi kwa forex trading ntakupa USDT 800, now kazi kwako!
Nakupa id hapa
Account ID:2001964057

Name of brokerJustforex
 

There is no need kurudia rudiia izo reply, umenielewa vizuri kabisa nlichokwambia na nmekuwekea dau mezan, mm nataka uwe kama mfano kwa wenzako na mnaowaaminisha kwamba mnaishi kwa forex, nilishafanya ivi vitu sana apa JF, akiwemo ata uyo anaitwa sjui Heartbearts tushafanya nae, what i want ni uwe mfano kwa wengine, so wala usizunguke sana, eka USDT 800 zako vizuri tuweke contract pale etheruem mshindi achukue kibunda chake maaana tunasumbuana sana na nyie vijana wa forex umu, sasa acha uwe mfano, take the contract
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…