Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Logo ingekaa kimpira na logo ya TRA ingejipachika kimtindo angalau kwa 40% ya Logo yote.Logo mbayaaaa
Ikishuka daraja itakuwaje?Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB.
Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka mwezi Januari 2026 ambapo itahamia Dar es Salaam. Mameneja na wamutimishi wa TRA mikoa ambayo timu itacheza Ligi Kuu wamehamasishwa kuiunga mkono timu kwa kuipa hamasa. Timu hii ni mahususi kuhamasisha ulipaji wa kodi kwa hiari.
Soma
Kwani jamaa atarudi kuwa waziri mwenye dhamana ya TRA? sio kwa ubaya naona kuna namna ya kumfurahisha!....ikiwa lemgo ni kuinua tu soka...ni jambo la kheri!!Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB.