Rasmi sasa wafuasi wa Hayati Magufuli wamegawanyika makundi mawili

Rasmi sasa wafuasi wa Hayati Magufuli wamegawanyika makundi mawili

Nyerere haikutumika nguvu ili akumbukwe baada ya kifo chake. Mkapa naye haikutumika nguvu yoyote.

Sasa huyu msukuma wa Chato hadi bunduki zilitumika kulazimisha watu ili akumbukwe.

Licha ya kuzungusha maiti kona zote bado upigaji wake umewekwa UCHI na CAG.

HAYATI MAREHEMU ALIKUWA MWIZI, FISADI, MTEKAJI, DIKTETA, MBINAFSI NA MPENDA SIFA. Historia itamkumbuka kwa huu USHEN.ZI!.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Natamani JPM achuje saana Ila najiuliza, Ikiwa atachuja hivo, mitandaoni kutaandikwa nini?

Maana sasa kila anaejua kuandika slabi na kuzipangilia, basi anatupia tu chochote hata kama ni ujinga!!

JF iko toka huyo JPM hajawa rais, ni lini kulikosekana cha kuandika kwakuwa yeye hakuwa madarakani? Au umeishiwa na hoja nini?
 
CCM ni chama kikubwa hakiwezi kukosa makundi

Membe naye anarejea!
Membe si alifukuzwa chamani!!!?? Yule si kakatwa mkia tu, bali shoka limepitia kiunoni kabisa, huyo wa kumrudisha ana kazi kubwa kurejesha uimara wa Membe katika CCM.
 
JF iko toka huyo JPM hajawa rais, ni lini kulikosekana cha kuandika kwakuwa yeye hakuwa madarakani? Au umeishiwa na hoja nini?
Achana naye,bado ni mgeni sana hapa Jamvini,hana zaidi ya miezi miwili.
 
Back
Top Bottom