Si mtaalamu wa lugha lakini nadhani mmepatia!Ohooooo!!
Mpaka mama amalize muda utamruhusu kweli?Anarudi kutimiza ndoto yake
Natamani JPM achuje saana Ila najiuliza, Ikiwa atachuja hivo, mitandaoni kutaandikwa nini?
Maana sasa kila anaejua kuandika slabi na kuzipangilia, basi anatupia tu chochote hata kama ni ujinga!!
Umesikia UN wanavyomlilia jana.
Membe si alifukuzwa chamani!!!?? Yule si kakatwa mkia tu, bali shoka limepitia kiunoni kabisa, huyo wa kumrudisha ana kazi kubwa kurejesha uimara wa Membe katika CCM.CCM ni chama kikubwa hakiwezi kukosa makundi
Membe naye anarejea!
Ni dalili za kuzaliwa chama kipya kuelekea 2025.CCM WAMEAMUA KUGAWANA FITO!!!
Achana naye,bado ni mgeni sana hapa Jamvini,hana zaidi ya miezi miwili.JF iko toka huyo JPM hajawa rais, ni lini kulikosekana cha kuandika kwakuwa yeye hakuwa madarakani? Au umeishiwa na hoja nini?
poleni sana akina ngoshaaaaaaaaaaaa 😀Kundi la pili ni lile linalopambana usiku na mchana kumtetea na kumsifia Magufuli. Kundi hili halitaki na wala halipendi kusikia chochote kinasemwa vibaya kuhusu Magufuli.
CCM ni Rais ( Jeshi + Hazina ).CCM ni chama kikubwa hakiwezi kukosa makundi
Membe naye anarejea!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Haya maajabu yanapatikana TZ pekee...Nchi ilipitia pagumu sana...
View attachment 1754109
Mkuu CCM ilimezwa na siasa za Magufuli, Magufuli ndio akawa CCM yenyewe.Kichwa cha habari hakiakisi vizuri yaliyomo ndani yake. Ni wafuasi wa Magufuli au wa CCM waliogawanyika makundi mawili?
HA HA HAAAA UMENENANdiyo mnavyojidanganya huko ufipa duuu.Subiri mkutano mkuu 30/4/2021 ushuhudie ile ng'ara ccm ng'araaaaaa.Tunaimani na Samia wengine wa piga debe tuuuu. Ccm ni ile ile jana leo na kesho
Kifupi chake ni cc..?Chama Cha Mazombie