Rasmi Simba Imeachana na Augustine Okrah

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
KWAHERI AUGUSTINE OKRAH

Uongozi wa klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kiungo mshambuliaji Augustine Okrah πŸ‡¬πŸ‡­ baada ya kumalizika mkataba wake ndani ya klabu na mchezaji hataongezewa mkataba mpya.

 
Tunamshukuru kwa huduma yake ndani ya klabu bora na yenye mafanikio makubwa ndani na nje ya Tanzania
 
Nilitamani huyu mwamba angebaki walau kwa msimu mmoja zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…