Rasmi Simba kujipima nguvu na Al hilal Orduman February 5,2023

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?

Source :Simba App
 
Ni umbumbumbu kucheza na timu ambayo katika dakika 90' mpira unachezwa dk 40 na dk 50 zilizobaki ni kujiangusha na kupoteza muda, Yanga huko ilishapita miaka mingi sana.
Ni Bora ya Ruvu shooting Wana paki basi na kukupa challenge kuliko timu ambayo muda mwingi wachezaji wanajiangusha Ili wapoteze muda.
 
Una kipaji cha kuandika makorokoro muda wote..
 
Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao.......huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?

Source :Simba App
Kila mtu afanye kivyake tuna malengo tofauti! nyie mkifukuza kocha ni sisi tufukuze? Al Hilal wamekuja Tanzania kwa ratiba zao ulitaka tuvunje ratiba zetu tucheze na wao?
 
kama kawa kwa mkapa hachomoki kiumbe yoyote hata kama ni friend match.
 
3dc4265b-0774-449b-ada0-1fe827575c15.jpg
 
Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?

Source :Simba App
Sisi tutacheza na Mbuni fc
 
Hawana issue wazee wa kupoteza muda wale, malengo yetu ni makubwa kuliko ya makolo.
 
Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?

Source :Simba App
Simba kwa sasa ni kama timu ya walevi! Mechi za kirafiki kila siku. Ndiyo kusema kocha bado hawajui vizuri wachezaji wake!

Na hapo msimu ujao utashangaa mnaajiri kocha mwingine!
 
Hata nyie kila siku mnacheza sema hazijulkani kwa sababu ni Ndondo
 
Ni umbumbumbu kucheza na timu ambayo katika dakika 90' mpira unachezwa dk 40 na dk 50 zilizobaki ni kujiangusha na kupoteza muda, Yanga huko ilishapita miaka mingi sana.
Ni Bora ya Ruvu shooting Wana paki basi na kukupa challenge kuliko timu ambayo muda mwingi wachezaji wanajiangusha Ili wapoteze muda.
Yanga bwana. Eti mlishapita miaka mingi saana, tena unaongea kwa msisitizo!
 
Back
Top Bottom