mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Una kipaji cha kuandika makorokoro muda wote..Ni umbumbumbu kucheza na timu ambayo katika dakika 90' mpira unachezwa dk 40 na dk 50 zilizobaki ni kujiangusha na kupoteza muda, Yanga huko ilishapita miaka mingi sana.
Ni Bora ya Ruvu shooting Wana paki basi na kukupa challenge kuliko timu ambayo muda mwingi wachezaji wanajiangusha Ili wapoteze muda.
Kila mtu afanye kivyake tuna malengo tofauti! nyie mkifukuza kocha ni sisi tufukuze? Al Hilal wamekuja Tanzania kwa ratiba zao ulitaka tuvunje ratiba zetu tucheze na wao?Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao.......huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?
Source :Simba App
Sisi tutacheza na Mbuni fcWale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?
Source :Simba App
Simba kwa sasa ni kama timu ya walevi! Mechi za kirafiki kila siku. Ndiyo kusema kocha bado hawajui vizuri wachezaji wake!Wale wababe wa uto wapo mjini kujiandaa na Caf champions league group stage ,,wakitarajia kucheza mechi za kirafiki na Azam, Namungo na Simba huku Simba akiwa ndio mwenyeji wao. Huko upande wa pili kwani ninyi hamna mashindano? Mbona hamjiandai?
Source :Simba App
Hata nyie kila siku mnacheza sema hazijulkani kwa sababu ni NdondoSimba kwa sasa ni kama timu ya walevi! Mechi za kirafiki kila siku. Ndiyo kusema kocha bado hawajui vizuri wachezaji wake!
Na hapo msimu ujao utashangaa mnaajiri kocha mwingine!
Yanga bwana. Eti mlishapita miaka mingi saana, tena unaongea kwa msisitizo!Ni umbumbumbu kucheza na timu ambayo katika dakika 90' mpira unachezwa dk 40 na dk 50 zilizobaki ni kujiangusha na kupoteza muda, Yanga huko ilishapita miaka mingi sana.
Ni Bora ya Ruvu shooting Wana paki basi na kukupa challenge kuliko timu ambayo muda mwingi wachezaji wanajiangusha Ili wapoteze muda.
Mbali kote huko?. Jumatatu ya Pasaka kocha out.Simba kwa sasa ni kama timu ya walevi! Mechi za kirafiki kila siku. Ndiyo kusema kocha bado hawajui vizuri wachezaji wake!
Na hapo msimu ujao utashangaa mnaajiri kocha mwingine!