Rasmi; Simba SC yawapa mkono wa kwa heri Kagere, Mugalu na Lwanga

Kila la kheri kwao Tunawashukuru kwa Mchango wao
 
#MICHEZO Klabu ya Singida Big Stars ya Singida leo imewatambulisha waliokuwa wachezaji wa Simba SC, Meddie Kagere na Pascal Wawa kama wachezaji wao wapya katika msimu wa 2022/23. https://t.co/8i4NXELqa4
 
Kwa hiyo tarehe 13 pale mbele tutamuweka Moses Phiri na Habibu Kiyombo bila shaka!

Dah! Nilimsahau na Kepteni John Bocco!
 
Kwa hiyo tarehe 13 pale mbele tutamuweka Moses Phiri na Habibu Kiyombo bila shaka!

Dah! Nilimsahau na Kepteni John Bocco!
Manzoki for Simba SC, timu kubwa Tanzania, Africa mashariki na kati!

Karibu Unyamani mtani
 
Manzoki for Simba SC, timu kubwa Tanzania, Africa mashariki na kati!

Karibu Unyamani mtani
Anawasili lini, na ataingia lini kwenye mfumo wa timu/kocha wenu? Au ndiyo zile story za mwezi wa 10!

Maana timu ndiyo inarejea kutoka Misri!
 
Baada ya kupiga kelele hatimaye MUGALU na KAGERE wamevunjiwa mkataba, hongera klabu yetu wapinzani watatukoma... Thimba GUVU MOYA
 
Anawasili lini, na ataingia lini kwenye mfumo wa timu/kocha wenu? Au ndiyo zile story za mwezi wa 10!

Maana timu ndiyo inarejea kutoka Misri!
Hatocheza mechi ya vipers vs yanga, j mos Ni mbal manzoki kuwa mnyama rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…