Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee huyu dogo sijawahi kumkumbaliBado kanoute
Anawasili lini, na ataingia lini kwenye mfumo wa timu/kocha wenu? Au ndiyo zile story za mwezi wa 10!Manzoki for Simba SC, timu kubwa Tanzania, Africa mashariki na kati!
Karibu Unyamani mtani
Natamani ingefanyika mapema ili simba imuage kwa heshima MK14. Thank you meddie kagere.
Anawasili lini, na ataingia lini kwenye mfumo wa timu/kocha wenu? Au ndiyo zile story za mwezi wa 10!
Maana timu ndiyo inarejea kutoka Misri!
Kwa hiyo tarehe 13 pale mbele tutamuweka Moses Phiri na Habibu Kiyombo bila shaka!
Dah! Nilimsahau na Kepteni John Bocco!
Tunawashukuru kwa kuitumikia vema Simba SC. Tunahitaji kuja kivingine kabisa msimu wa 2022/23.