RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

Tutakuwa tunapiga pira lenye ladha ya ki-PSG huku wenzetu wakipiga sijui pir... sorry hivi kaze ni raia wa wapi vile?
 
Ataisaidia sana Simba kwenye michezo ya Club Bingwa Africa.

Uwezekano wa Simba kupata zaidi ya Poits 9 upo kwa kuwa Kocha anaifahamu vizuri Timu ya Al Mereck na hizi Timu nyingine mfano AS Vita na Al Ahly tunajua pa kuwashika subiri waje kwa Mkapa.
 
Hawa wazungu huku wanakuja kuchuma tu. No passion kabisa. Yeye anahakikisha contract yake imesimama vizuri, say US$ 30,000 monthly kwa miaka miwili regardless kama kuna milestones zilizowekwa humo ndani au la.

Mkiamua kuvunja contract na kumtimua baada ya kufungwa na Yanga/Simba/Azam, yeye anavuta mpunga wake na kusepa. Infact wengine hutamani wafukuzwe ili walipwe
 
Ataweza kupambana na kaze? maana kishingo alishindwa na kaze alikuwa bado hajaijua ligi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…