Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaa ngoja nifute.Wewe ndo unakuza mambo sasa.
Mbona anakaa kwenye timu kipindi kifupi sana ?Soma ili uelewee napia coach anaajiliwa ili afukuzweView attachment 1684923
Anajua ukiona hvyo. Then waajiri wake wakimzingua kdgo tu. HIZO NDIO SOFA ZA ANAYEJUAMbona anakaa kwenye timu kipindi kifupi sana ?
Sifa anae jua anakaa mda mrefu sio ndani ya miaka kumi una timu kumiAnajua ukiona hvyo. Then waajiri wake wakimzingua kdgo tu. HIZO NDIO SOFA ZA ANAYEJUA
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club.
Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbra Gonzalez.
View attachment 1684912
Ila Ibenge alikuwa wanabisha!!!Utopolo wameshaanza kuogopa
Thubutu!!!Nikajua atakuja van Gaal. 😎
Endelea kuhangaika na hilo jina ulaotaka kulivumisha we uto.Karibu Utelembwe dada Rose
Umemsahau KagereYaani Van Gaal awe kocha afu aanze kuwaamkia shkamoo akina Onyango, Wawa na Nyoni??
We unataka akae hadi mwaka gani?Safari ya huyu kocha inakufa baada ya Simba kushindwa kuvuka hatua ya makundi.
Ndo limeshavuma Kila Kona ya nchiiiEndelea kuhangaika na hilo jina ulaotaka kulivumisha we uto.
Wakipiga pira makandeTutakuwa tunapiga pira lenye ladha ya ki-PSG huku wenzetu wakipiga sijui pir... sorry hivi kaze ni raia wa wapi vile?