Ficha upumbavu wako.Ndo limeshavuma Kila Kona ya nchiii
Hivi Zeruzeru lazima awepo kwenye utambulisho kama huu?Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club.
Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbra Gonzalez.
View attachment 1684912
Kishingo alipata ofa nono ulitegemea akatae?Sasa huyu na kishingo wanatofauti gani?
Yule kocha wa yanga kutuita manyani hakukosea kabisa, tunamikelele kama mi mbwa kokoKaribu sana Tanzania kwenye mashabiki wasio na uvumilivu wenye kelele nyingi na wasio na taaruma ya ufundisha ila ni makocha wazuri wa kukupangia vikosi.
KIRUGU ndio nini?Licha ya kutokuwa na Mafanikio makubwa pia Didier Gomes Da Rosa ni Kirugu na Njia muda wote anasepa. Simba SC Tafuteni kocha mwingine!
Hivi Zeruzeru lazima awepo kwenye utambulisho kama huu?
Wanadai wanaenda kisasa kama Ulaya. Wasemaji wa club walikuwepo wakati Kopp anatambulishwa? Mourihno? Van Gaal? Lampard?
Utambulisho ni kazi ya CEO na mhusika.
We mkia mbona umepanik hivyo?huu mchezo hautakagi hasira,huyu chek noris wenu atakimbizwa muda si mrefuYule kocha wa yanga kutuita manyani hakukosea kabisa, tunamikelele kama mi mbwa koko
Da rose mwepesi sana,huyu tutamuondoa sisiKishingo alipata ofa nono ulitegemea akatae?
Kuandaa ni sawa lakini si kuwepo kwenye picha .Kiutendaji mkutano na wana habari (press conference) inaangukia moja kwa moja kwenye idara ya habari ya klabu.
Kwahiyo ni ''sahihi, muhimu na lazima'' kwa mtu wa idara ya habari kuwapo kwenye tukio hilo.
Baada ya Zahera kufurushwa.. Kaze ni kocha wa 3.We mkia mbona umepanik hivyo?huu mchezo hautakagi hasira,huyu chek noris wenu atakimbizwa muda si mrefu
Hivi Zeruzeru lazima awepo kwenye utambulisho kama huu.
Hizo ni mbwa,. manyani.. masokwe.Ushabiki gani huu?? Wacha kudhalilisha watu bwana mdogo
ushabiki wa ajabu kweli huuHizo ni mbwa,. manyani.. masokwe.
Kocha wao aliwapatia kabisa
Kwa dau nono kama mlivyofanya kwa senzo au?Da rose mwepesi sana,huyu tutamuondoa sisi
Anapenda sana awepo hata kwenye benchi la ufundi. Kabanwa tu.Hili ni jambo jipya kwangu. Nadhani utaendelea kumwona Manara kwenye press za klabu ya Simba.
Subirini wawafunge afu muwasajili kwani hiyo ndio akili pekee mliyo nayo.Vp kuhusu yule dada mwenye jina la miti shamba? Mitibazokizaa. Yule wa juzi nae from Burundi. ASIYE NA TIMU MKAJIOKOTEA WOOTE HAWA VI BIBI
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app