RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

RASMI: Simba yamtangaza Mfaransa Didier Gomes da Rosa kuwa kocha wake mpya

Tutaona pira kung-fu
FB_IMG_16115064106352583.jpg
 
Aliyekua kocha mkuu wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan, Mfaransa Didier Gomes da Rosa amejiunga rasmi na klabu ya Simba Sports Club.

Kocha huyo ametangazwa leo na mtendaji mkuu wa klabu ya Simba Barbra Gonzalez.

View attachment 1684912
Hivi Zeruzeru lazima awepo kwenye utambulisho kama huu?

Wanadai wanaenda kisasa kama Ulaya. Wasemaji wa club walikuwepo wakati Kopp anatambulishwa? Mourihno? Van Gaal? Lampard?

Utambulisho ni kazi ya CEO na mhusika.
 
Karibu sana Tanzania kwenye mashabiki wasio na uvumilivu wenye kelele nyingi na wasio na taaruma ya ufundisha ila ni makocha wazuri wa kukupangia vikosi.
Yule kocha wa yanga kutuita manyani hakukosea kabisa, tunamikelele kama mi mbwa koko
 
Hivi Zeruzeru lazima awepo kwenye utambulisho kama huu?

Wanadai wanaenda kisasa kama Ulaya. Wasemaji wa club walikuwepo wakati Kopp anatambulishwa? Mourihno? Van Gaal? Lampard?

Utambulisho ni kazi ya CEO na mhusika.

Kiutendaji mkutano na wana habari (press conference) inaangukia moja kwa moja kwenye idara ya habari ya klabu.

Kwahiyo ni ''sahihi, muhimu na lazima'' kwa mtu wa idara ya habari kuwapo kwenye tukio hilo.
 
Yule kocha wa yanga kutuita manyani hakukosea kabisa, tunamikelele kama mi mbwa koko
We mkia mbona umepanik hivyo?huu mchezo hautakagi hasira,huyu chek noris wenu atakimbizwa muda si mrefu
 
Kiutendaji mkutano na wana habari (press conference) inaangukia moja kwa moja kwenye idara ya habari ya klabu.

Kwahiyo ni ''sahihi, muhimu na lazima'' kwa mtu wa idara ya habari kuwapo kwenye tukio hilo.
Kuandaa ni sawa lakini si kuwepo kwenye picha .
 
Back
Top Bottom