OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
nipe kifungu cha kanuni za FIFA. acha chuki za kike mzee,uwe na chuki za kimichezoHivi Zeruzeru lazima awepo kwenye utambulisho kama huu?
Wanadai wanaenda kisasa kama Ulaya. Wasemaji wa club walikuwepo wakati Kopp anatambulishwa? Mourihno? Van Gaal? Lampard?
Utambulisho ni kazi ya CEO na mhusika.
Mpaka utukane? Why can't you just argue? Chuki za kike mnazo Mikia.nipe kifungu cha kanuni za FIFA. acha chuki za kike mzee,uwe na chuki za kimichezo
After all nimwonee wivu zeruzeru kwa lipi hasa. Akiongea nonsense as he does always, tutasema.nipe kifungu cha kanuni za FIFA. acha chuki za kike mzee,uwe na chuki za kimichezo
Unavyomuita Zeruzeru ni wazi kua una chuki nae kali sana. Mpira ni burudani bro, just relax. Mpinge Manara kimichezo, sio kuleta chuki as if mna personal problemsMpaka utukane? Why can't you just argue? Chuki za kike mnazo Mikia.
Always, wasemaji wa Yanga wanaongelea Yanga. Zeruzeru hawezi kuongea bila kuingiza Yanga. Una ushirika naye kwenye mambo yake?
nakusisitiza tu acha chuki za kike,behave kama mwana michezoAfter all nimwonee wivu zeruzeru kwa lipi hasa. Akiongea nonsense as he does always, tutasema.
Wewe ndiyo mtetezi wake humu.
Kifungu cha FIFA for what? Si yeye anasema mnafanya kama Europeans teams? Wanakuwepo wasemaji wao kwenye functions kama hizo?
Katika ubora wakoKaribu Utelembwe dada Rose
Kima tulizeni mishono tuonane uwanjaniKuogopa nini! Yule nyau mliyewatishia Fc Platinum, au?
Zeruzeru ni neno sahihi la Kiswahili. Albino ni neno la kingereza ingawa najua limekubalika kwenye Kiswahili. Nampinga kimichezo sijawahi kumtukana yeye au mwingine humu JFUnavyomuita Zeruzeru ni wazi kua una chuki nae kali sana. Mpira ni burudani bro, just relax. Mpinge Manara kimichezo, sio kuleta chuki as if mna personal problems
We jamaa mpira wa simba na Yanga hata huujui, bora utulie ucheze bao. We unafuatilia tu anachoongea Manara hao wasemaji wako huwafuatilii. Ulishasikia hao wasemaji wa uto wamelalamika kua marana kila akiongea lazima aiseme Utopolo fc. Hawasemi kwa vile hata wao wanaisema simba .Mpaka utukane? Why can't you just argue? Chuki za kike mnazo Mikia.
Always, wasemaji wa Yanga wanaongelea Yanga. Zeruzeru hawezi kuongea bila kuingiza Yanga. Una ushirika naye kwenye mambo yake?
Leo umemsikia?We jamaa mpira wa simba na Yanga hata huujui, bora utulie ucheze bao. We unafuatilia tu anachoongea Manara hao wasemaji wako huwafuatilii. Ulishasikia hao wasemaji wa uto wamelalamika kua marana kila akiongea lazima aiseme Utopolo fc. Hawasemi kwa vile hata wao wanaisema simba .
We mwenyewe humu jamii forum kila komment lazima uzungumzie vibaya simba, unachukia nini Utopolo ikizungumziwa.
Afu uwe na lugha za staa acha ubaguzi, we ukiienda ulaya ukaitwa we mweusi utaitika?. Mwite kwa jina lake kama wewe unavyoitwa sibonike. Hata kama manara yuko vile ndivyo alivyoumbwa hakujibadilisha. Mpe respect yake, achani kutengeneza chuki binafsi kwenye mpira, hizi ni timu tu umezikuta utaziacha. Kumbuka simba na Yanga ni watani wa jadi. Ndio maana uwezi kusikia wa simba anamtania wa azamu au Yanga anamtania wa Azamu na timu zingine.
Huwezi kufanya utani na mtu ambaye ufanyi naye utani
Hapo we unafanya nini kuita zeruzeru ni ubaguziMpaka utukane? Why can't you just argue? Chuki za kike mnazo Mikia.
Always, wasemaji wa Yanga wanaongelea Yanga. Zeruzeru hawezi kuongea bila kuingiza Yanga. Una ushirika naye kwenye mambo yake?
Una tabia za kimamaLeo umemsikia?
Kuna msemaji wa Yanga anaweza kuongea upumba.vu kama huo?
Kumwita Zeruzeru sio dhihaka. Si ubaguzi.
Ni perception tu. Zeruzeru ni neno sanifu la Kiswahili.Hapo we unafanya nini kuita zeruzeru ni ubaguzi
ulitabiri vizuriAtaisaidia sana Simba kwenye michezo ya Club Bingwa Africa.
Uwezekano wa Simba kupata zaidi ya Poits 9 upo kwa kuwa Kocha anaifahamu vizuri Timu ya Al Mereck na hizi Timu nyingine mfano AS Vita na Al Ahly tunajua pa kuwashika subiri waje kwa Mkapa.
upo sahihi ni zezeru kweliNi perception tu. Zeruzeru ni neno sanifu la Kiswahili.
Hakuna ubaguzi hapo kwa mtazamo wangu. Yeye hupenda kuitumia kama fimbo ya kujitetea akisahau kwamba huwaita wengine vitu vya ajabu na mengine matusi.