Takumi umeshamuona akiwa kwenye pitch?Kakubali kwenda kuchoma mahindi
Nimemuona mara kadhaa kwenye mechi za Champions League .Takumi umeshamuona akiwa kwenye pitch?
huyo jamaa ana wivu wa kikeKama wewe ni Arsenal hujalazimishwa kusoma hapo. Taften kocha kwanza!
Liverpool juuuuu!
Karibu sana Mjapani ndani ya Anfield
Sent using Jamii Forums mobile app
Minamino ni kiungo anayeweza kucheza lw,rw, lm ila namba yake asili ni am kiungo mshambuliaji nyuma ya staiker naona klop anataka kuanza kutumia mfumo wa 4231. Ambao kiungo wa kati atakaa keita na fabinho na mbele yao atakaa minamino, firminho na mane alafu salah atacheza 9Huyu jamaa ni mzuri but eneo letu la kiungo linapendeza mno.
Kwahiyo ushindani utakuwa mkubwa..
Kinachonifurahisha watu watalamba nyasi sanaMinamino ni kiungo anayeweza kucheza lw,rw, lm ila namba yake asili ni am kiungo mshambuliaji nyuma ya staiker naona klop anataka kuanza kutumia mfumo wa 4231. Ambao kiungo wa kati atakaa keita na fabinho na mbele yao atakaa minamino, firminho na mane alafu salah atacheza 9
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni habari mbaya kwa captain..Minamino ni kiungo anayeweza kucheza lw,rw, lm ila namba yake asili ni am kiungo mshambuliaji nyuma ya staiker naona klop anataka kuanza kutumia mfumo wa 4231. Ambao kiungo wa kati atakaa keita na fabinho na mbele yao atakaa minamino, firminho na mane alafu salah atacheza 9
Sent using Jamii Forums mobile app