Rasmi: Takumi Minomino ni mchezaji wa Liverpool

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
IMG-20191219-WA0018.jpg
 
Clopp alimuona yule mjapani wa salzbug alivyowajambisha akina van virgil akajisemea moyoni " Dah lazima nisajili mchina hata mmoja tu anatosha"
 
Huyu jamaa ni mzuri but eneo letu la kiungo linapendeza mno.

Kwahiyo ushindani utakuwa mkubwa..
 
Minamino ni kiungo anayeweza kucheza lw,rw, lm ila namba yake asili ni am kiungo mshambuliaji nyuma ya staiker naona klop anataka kuanza kutumia mfumo wa 4231. Ambao kiungo wa kati atakaa keita na fabinho na mbele yao atakaa minamino, firminho na mane alafu salah atacheza 9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pale ambapo minamino alisepa na kijiji wachezaji wa liva. Henderson na van dik walimfwata klop na kumsihi tunakuomba umsajili huyu binadamu. Klop akawatizama na kuwaambia " tulieni vijana minamino ashatua anfield tumeshafanya makubaliana kila kitu nae". Kumbe klop alimuona kabla yao aiseee mwaka huu wetu acha wana liva tutambe tu kifua mbele ynwa
Screenshot_2019-12-21-12-19-46-1.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Minamino ni kiungo anayeweza kucheza lw,rw, lm ila namba yake asili ni am kiungo mshambuliaji nyuma ya staiker naona klop anataka kuanza kutumia mfumo wa 4231. Ambao kiungo wa kati atakaa keita na fabinho na mbele yao atakaa minamino, firminho na mane alafu salah atacheza 9

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachonifurahisha watu watalamba nyasi sana
 
Minamino ni kiungo anayeweza kucheza lw,rw, lm ila namba yake asili ni am kiungo mshambuliaji nyuma ya staiker naona klop anataka kuanza kutumia mfumo wa 4231. Ambao kiungo wa kati atakaa keita na fabinho na mbele yao atakaa minamino, firminho na mane alafu salah atacheza 9

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni habari mbaya kwa captain..
Ila lazima gini awepo maana yeye kazi kupora mipira kwa mabavu
 
Back
Top Bottom