Rasmi- Tanzania kupeleka timu nne michuano CAF msimu ujao

Rasmi- Tanzania kupeleka timu nne michuano CAF msimu ujao

Kwanini isiwe Biashara United inayoelekea kushika nafasi ya nne kuelekea mwisho wa ligi ya VPL na itacheza nusu fainali ya kombe la shirikisho?

Yote sawa tu mkuu, hiyo ilikua ni vision yangu.
 
Wasivyokuwa na haya, wale waliokuwa wanawapokea wageni wakija kucheza na Simba wamekubali mbeleko ya Simba, tena wanashikilia kweli kweli wasianguke! [emoji23]
Nao wamechangia alama moja hivyo kuna jasho lao pia!
 
Kwenye hizo points mbona hata sisi Yanga tuna mchango wetu. Hivyo mlitakiwa mzipongeze Simba, Namungo na Yanga.

Timu iliyotakiwa izodolewe ni Azam na Mtibwa ambao waliwahi kushiriki na kutolewa mapema.
Mbumbumbu hawawezi kukuelewa!
 
Back
Top Bottom