"After" ni mambo ya "Projections" ambayo hayana maana. Hizo za kuuza vitumbua kama alivyosema GENTAMYCINE siyo "Multiplier effects" za kusema ndizo zilizotarajiwa.
Ingewezaje kutokea wakati kwenye tawala zilizotanguliwa gesi ilikuwa haijagunduliwa??Usiwe na jazba. Huu ndio ukweli. Kama LNG ni $30b. Hii ninproject kubwa kabisa kuwahi kutokea
Tatizo mkuu tunaogopa kuingia kwenye mikataba kama ile ya madini ndio maana inasuasua. Inaenda slow sana. Ma consultant walishakuja kuisaidia serikali lakini bado. TPDC walitangazaga tenderBasi waharakishe kutupa ajira sisi
Kitakachosababisha umeme ushuke bei ni nini?Hujui umeme ukishuka bei...
Gesi kwa mara ya kwanza imegundulika in 1970s by BPIngewezaje kutokea wakati kwenye tawala zilizotanguliwa gesi ilikuwa haijagunduliwa??
Iligundulika ikawa na sifa ya kuchimbwa? Maana kugundulika na kuwa na sifa ya kuchibwa ni vitu viwili tofauti.Gesi kwa mara ya kwanza imegundulika in 1970s by BP
.Kitakachosababisha umeme ushuke bei ni nini?
Iligundulika ikawa na sifa ya kuchimbwa? Maana kugundulika na kuwa na sifa ya kuchibwa ni vitu viwili tofauti.
No ile ya mitungi inaitwa CNG. Hii inaitwa LNG. LNG ni sawa na kuchukua yale matank ya mafuta-mbele na trailer yake 600 yakiwa yamejaa gesi alafu uyacompressed na kuyaweka kwenye kisanduku kidogo, mfano ya vile visanduku vya bati vya watoto wa boarding school.Samahani, gas asili ya Ntwara wana mpango wa kuifanya Liquified Natural Gas kwa ajili ya mitungi yetu ya majumbani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kitaalam huwezi kuandika kuwa "lile bwawa litatoa 1500+mw" badala ya kuandika "inakadiriwa linaweza kuwa linatoa 1500+mw za umeme" mpaka likianza kuzalisha ndiyo itajulikana litatoa kiasi gani cha umeme.Angalia laws of market forces of demand and supply utapata jibu mkuu. Deficit ya umeme tz kwa sasa ni 280 mw na ile bwawa litatoa 1500+mw .
Hii project hapa Tz wana ya kwao na Mz pia wana ya kwao. MZ wao washaanza kujenga-wapo mbele yetu. Kampuni zinazotakiwa kujenga hapa TZ ni shell, exxonmobil, equinor, pavillion etc ambazo ni tofauti na zile za msumbiji.Mkuu,
Hii project walishaipeleka Msumbiji lbd kama tutaanza upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dhu izi shule izi mmmmmh.......!!Ndio maana hapo nimeandika 1550+ au hukunielewa. Ningeandika 1500 hapo sawa. Kama hujui hiyo law sema nikusaidie mkuu. Kabla ya hiyo project tunafanya kitu kinaitwa financial and economic modeling. Financial metrics are checked. Mfano tunaangalia kama project itakuwa na faida or not-hii tunaita NPV- future cash flows and investment amout are taken care. Pia tunaangalia Break even price. Hapa tunaangalia umeme tuuze kwa kiasi gani na kwa mda gani ili garama za uzalishaji ziwe zimerudi. Tunaweza kupunguza bei ya umeme ili ule mda wa kurudisha gharama za uzalishaji uongezeke and vice versa. Pia tunaangalia EMV na IRR. karibu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hatuamki tu asubuhi na kusema tunafanya au tunataka project flani. Tunaangalia mambo mengi sana especially commercial/economic benefits. Siku hizi hata serikali ikiamua kujenga hispitali kwa ajili ya wananchi wake, commercial issues pia lazima ziwe implemented.Dhu izi shule izi mmmmmh.......!!
Aya bwana sie macho...!
Haya madini uliyoyatoa nilijaribu kuyatumia kuanzisha biashara yakanikatisha tamaa. Yanahitaka uyatumie kuendeleza biashara inayoendelea na si inayoanza, nahisi huko serikalini mnaedit kila hatua ya mradi.Ndio maana hapo nimeandika 1550+ au hukunielewa. Ningeandika 1500 hapo sawa. Kama hujui hiyo law sema nikusaidie mkuu. Kabla ya hiyo project tunafanya kitu kinaitwa financial and economic modeling. Financial metrics are checked. Mfano tunaangalia kama project itakuwa na faida or not-hii tunaita NPV- future cash flows and investment amout are taken care. Pia tunaangalia Break even price. Hapa tunaangalia umeme tuuze kwa kiasi gani na kwa mda gani ili garama za uzalishaji ziwe zimerudi. Tunaweza kupunguza bei ya umeme ili ule mda wa kurudisha gharama za uzalishaji uongezeke and vice versa. Pia tunaangalia EMV na IRR. karibu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwenye kuanza kwa biashara unatumia pia mkuu. Lazima ujue initial investment na future cashflows za kila mwaka. Na lazima hizi chaflows ziwe discounted. Uki estimate hizi numbers unaweza pata NPV, IRR, Break even etc. Kwa hiyo utajua ni kipindi gani mtaji wako utakuwa umerudi. Una edit figures only ukihisi kina changes za cashflows.Haya madini uliyoyatoa nilijaribu kuyatumia kuanzisha biashara yakanikatisha tamaa. Yanahitaka uyatumie kuendeleza biashara inayoendelea na si inayoanza, nahisi huko serikalini mnaedit kila hatua ya mradi.
Kwa hiyo unapendekeza isimamishwe isitekelezwe au unajaribu kusema serikali haina wataalamu waliofanya analysis kuona kama iko economically viableBiashara zilizokuwa zinafanyika Samunge enzi za "Kikombe cha babu" unaweza kuzilinganisha na hizo? Wewe umewahi kufika kwenye machimbo mapya uone biashara zinavofunguliwa?
Hizo unazoziita "Multiplier effect" ni lazima ziwe za kudumu. Wakati UDOM inajengwa tuliambiwa kwamba kutakuwa na "Multiplier effect" kama kwa Daraja la Nyerere pale Kigamboni, leo hii wewe unaziona hizo "multiplier effect kama tulivyoambiwa?
Hiyo miradi yote ni mikopo, ni lazima tuione kama itachukua miaka mingapi kurudisha fedha zinazowekezwa ili ianze kuleta faida. Kikwete alilalamika kulipa deni alilolikuta tangu enzi za Mwalimu. Unajua ni kwa nini?
From the law of dmd and supplyHalafu kitaalam huwezi kuandika kuwa "lile bwawa litatoa 1500+mw" badala ya kuandika "inakadiriwa linaweza kuwa linatoa 1500+mw za umeme" mpaka likianza kuzalisha ndiyo itajulikana litatoa kiasi gani cha umeme.
"Market forces of demand and supply" haitanguliwi kwanza na "Investment and running costs" Yaani kama tumekopa hiyo mikopo haitajumlishwa kwenye gharama za uwekezaji? Bwawa litakapokamilika hakutakuwa na gharama za uendeshaji wa huo mradi?
Bei ya umeme itashuka kwa kuwa tu kuna bwawa linazalisha 1500+mw?