Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Kwa mara ya kwanza viongozi wa Urusi wamethibitisha kuwa lile tukio lililopata kuripotiwa sana duniani ilikuwa ni kama yale mazoezi ya kuzima moto nchini ambapo wakati mwengine ndege huripotiwa kuanguka na kuleta taharuki kubwa kwa wananchi.
Hilo limetolewa ufafanuzi na mnadhimu wa masuala ya kiusalma nchini Urusi bwana Oleksiy Danilov
Generali Danilov amesema mchezo ule ulichezwa kwa ushirikiano rasmi kati ya Prigozhin na raisi Putin na lengo lake ilikuwa ni kuwafichua majjenerali ambao hawana utiifu kwa raisi Putin.
Wengi wao tayari wako mahabusu na wengine wameondolewa nyadhifa zao.Akaongeza kuwa Ukraine wanawajua watu wao hao.
Katika vita vinavyoendelea kati ya Urusi na Ukraine kwa kiasi kikubwa Urusi imeonekana kuiwacha mbali NATO katika kuweka siri mipango yao na katika ukubwa wa propaganda za kivita.

Prigozhin’s mutiny was a planned special operation – Danilov