Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Mtego kwa NATO ni upi hapa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtego kwa NATO ni upi hapa??
Mwenyewe nilishangaa waziri wa ulinzi anapinduliwaje 😂😂
Sio kweliHilo lilikua wazi sana wapuuzi ndo walifikiri liko serious it was staged kabisa, ila Nato nayeye aliduazwa bila kujua ukweli akaanza kutoa siri za ndani kwa proghizin.
hili sual nimelifikiria sana. hapa ndipo inapoweza sasa kuanxzia vita ya tatu y duniaMimi navo mjua putin huyu kiongozi angekua alisha lishwa sumu ile hatari ya nuclear substance, mapema hata ya watu kujua tofauti zao Putini iko makini sana na adui zake, yule ni puppet wake ana mtumia anavo taka.......na soon Africa magharibi yote itakua chini yake subiria coup nyingine Senagal, Nigeria assassination au coup kwasbb jeshi la Nigeria liko corrupt sana lina weza chochete hapo anacho lenga ni EU na bomba lao la gesi kutoka Nigeria, tusipo angalia vita kuu huenda kuanzia Africa.
Mashoga walijidanganya eti wale askari wa vikosi maalum na wengine waliobaki makambini mwao huku Wagner wakielekea kumpindua waziri wa ulinzi kwamba ni kuunga kwao mkono mapinduzi.Cha kushangaza zaidi wapinduaji walitoa taarifa kabisa kua wanaelekea Moscow kumpindua waziri wa ulinzi na Mkuu wa majeshi.
Mara msafara wa magari ya vitavna vifaa na askari vikawa vinaelekea Moscow,wakati huohuo wakipishana na msafara wa wanajeshi watiifu wa kwa Putin kutoka Chechen walioenda kuchukua nafasi zilizoachwa na "Vagner"wenye msururu wa zana kama zao.
Wakti huo huo Kuna vikosi imara kabisa vya wanajeshi wa kawaida na wasio wa kawaida wenye mafunzo adimu kabisa hapa Duniani Spertsnaz na askari kama hao wakiwa makambini wakiendelea na shughuli zao kama kawaida.
Msafara kama huo wa askari wa Urusi ambao ulikua ukielekea Kyev ambao ambao tuliaminishwa ulisambaratishwa na jeshi Ukraine,Leo jeshi kubwa kabisa hapa chini ya jua la Urusi lishindwa kuusambaratisha msafara wa Vagner ambalo linatumia Kila kifaa made in Russia Hadi namna ya kuvitumia wamefundishwa na Urusi.
Aisee hata kama habari hii tunayoijadilinsio ya kweli,lkn Mimi wala sikuona mapinduzi yoyote ya maana hapo.
Wakati huohuo wananchi mitaani wanakimbilia kwenye msafara huo na kudandia vifaru na magari ya delaya na kuanza kupiga picha kwa mtindo wa selfie na kuanza kufanya masihala na wapindua Wizara wa ulinzi.
Hata kama habari hii sio ya kweli lkn nilimuona Prigozin kama Mzee mtundumtundu TU.
SOVIET ilikuwa kubwa dunia nzima zaidi ya Nigeria lakin ilipasuliwa vipande vipandeNakukubali na wazo lako kuhusu Nigeria.Ni taifa kubwa la Afrika lakini dhaifu sana kiuongozi.Wakileta ujinga wa kuwaunga mkono Ulaya itapinduliwa mara moja.
Kwahiyo unamanisha kwasasa Nigeria ni kubwa kuliko Russia ya sasa.SOVIET ilikuwa kubwa dunia nzima zaidi ya Nigeria lakin ilipasuliwa vipande vipande
Mashoga Kila kijihabari Cha kuwafariji walikitumia vema kujifariji.Mashoga walijidanganya eti wale askari wa vikosi maalum na wengine waliobaki makambini mwao huku Wagner wakielekea kumpindua waziri wa ulinzi kwamba ni kuunga kwao mkono mapinduzi.