Rasmi USAID imevunjwa leo na Bunge la Marekani,serikali imejipangaji?

Walikuwa wanatuletea 40% iliyobaki wanakula ila bado wanatusimanga hatari
 
Ukitoa Condom za MSD , NET (Vyandarua ) Pamoja na dawa za kufubaza virusi Vya ukimwi .

Hela zilizobaki zilikuwa zinaishia katika mifuko ya watu.

Serikali kama inaweza kukunua Baiskeri na pikipiki na kugawa sifikirii Kama itashindwa kununua ARV ,Condom na vyandarua.

Na ikishindwa wapunguze mishahara ya makatibu , wabunge mawaziri , VP na president , wabane katika madini ,bandarini ,utalii n.k
Hawanauwezo wakufanya hayo maamuzi,kama mstaafu Rais anapewa gari mpya yakutembelea kila baada ya miaka kadhaa na kiwese juu je wataweza kukata marupurupu kwawaliopo kazini?
 
Mada zisizo na ukweli.
Serikali ilishajipanga. ARV sio issue
 
Bunge la Marekani hii leo limekamilisha mchakato wa kulivunja shirika la misaida la nchi yake liitwalo USAID.

USAID likikuwa likitoa misaasa nchi mbalimbali za Afrika ikiwepo Tanzania katika sekta mbalimbali hasa Afya kama vile kupambana na magonjwa yanayo ambukiza kam vile ukimwi na afya ya uzazi,mtoto na mama kadhalika katika sekta ya Elimu.

Kwa muktadha huu mashirika mengi yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Tanzania yanakwenda kukutana na changamoto za kifedha na hata kusitisha huduma zake na watanzania wengi kupoteza ajira zake.

MDH na THPS ni miongoni mwa mashirika ninayo yafahamu ambayo yanajihusisha na masuala ya ukimwi na yalikuwa yanategema USAID kwa 90% kujiendesha,je yataweza kuendeleza majukumu yake?.

Kwa sasa dawa za kufubaza VVU,Vipimo itakuwa ni changamoto kitu kitakachopelekea ugumu katika kukabiliana na ugonjwa huo na hata kuongezeka kwa maambukizi pamoja na vifo.

Serikali kupitia wizara zake ambazo ziliguswa moja kwa moja na misaada ya shirika hilo imejipanga vipi kuhakikisha kwamba itaepukana na changamoto zozote kwa usahihi?

Uchumi wetu ni mkubwa kuliko wa Marekani. Na bado unaendelea kutesa
 
U.S inaenda kupoteza respect duniani kuna taifa linaenda kuinuka.
 
DFP zitapungua sana kupark kwenye vi lodge vyenye self contained na electric wire fence.
Mbona kitambo amrefu mwananyamala soonish wamepak cruiser IHDV siku ya mnada tukumbukane nijipatie mkonge kwa laki 7
 
Mnada lini boss, mimi nataka office accesories
 
Mtajifunza in a hard way
Mbona majirani wanatengeneza ARV
Ni mda sasa maabara zetu zitengeneze pia

Lazima tufanye yetu maana hatuwezi kuwa ombaomba miaka yote

Tunakubali na kuwa dhalili mpaka tunasaidiwa na VYOO ?

Bora wakate tu maana wanufaika zaidi wanajulikana maana miradi mingi ilikuwa inapigwa sana
 
Bunge la Marekani hii leo limekamilisha mchakato wa kulivunja shirika la misaida la nchi yake liitwalo USAID.

USAID likikuwa likitoa misaasa nchi mbalimbali za Afrika ikiwepo Tanzania katika sekta mbalimbali hasa Afya kama vile kupambana na magonjwa yanayo ambukiza kam vile ukimwi na afya ya uzazi,mtoto na mama kadhalika katika sekta ya Elimu.

Kwa muktadha huu mashirika mengi yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Tanzania yanakwenda kukutana na changamoto za kifedha na hata kusitisha huduma zake na watanzania wengi kupoteza ajira zake.

MDH na THPS ni miongoni mwa mashirika ninayo yafahamu ambayo yanajihusisha na masuala ya ukimwi na yalikuwa yanategema USAID kwa 90% kujiendesha,je yataweza kuendeleza majukumu yake?.

Kwa sasa dawa za kufubaza VVU,Vipimo itakuwa ni changamoto kitu kitakachopelekea ugumu katika kukabiliana na ugonjwa huo na hata kuongezeka kwa maambukizi pamoja na vifo.

Serikali kupitia wizara zake ambazo ziliguswa moja kwa moja na misaada ya shirika hilo imejipanga vipi kuhakikisha kwamba itaepukana na changamoto zozote kwa usahihi?
Huwa Unafatilia Bunge???
Unajua Bajeti ya Mwaka Huu?

Unafahamu Kuhsuu Mjadala wa ARV na Magonjwa Mengine yaliyokuwa Yakipewa Msaada yalitolewa Maamuzi Gani?
 
Bunge la Marekani hii leo limekamilisha mchakato wa kulivunja shirika la misaida la nchi yake liitwalo USAID.

USAID likikuwa likitoa misaasa nchi mbalimbali za Afrika ikiwepo Tanzania katika sekta mbalimbali hasa Afya kama vile kupambana na magonjwa yanayo ambukiza kam vile ukimwi na afya ya uzazi,mtoto na mama kadhalika katika sekta ya Elimu.

Kwa muktadha huu mashirika mengi yasiyo ya kiserikali (NGOs) nchini Tanzania yanakwenda kukutana na changamoto za kifedha na hata kusitisha huduma zake na watanzania wengi kupoteza ajira zake.

MDH na THPS ni miongoni mwa mashirika ninayo yafahamu ambayo yanajihusisha na masuala ya ukimwi na yalikuwa yanategema USAID kwa 90% kujiendesha,je yataweza kuendeleza majukumu yake?.

Kwa sasa dawa za kufubaza VVU,Vipimo itakuwa ni changamoto kitu kitakachopelekea ugumu katika kukabiliana na ugonjwa huo na hata kuongezeka kwa maambukizi pamoja na vifo.

Serikali kupitia wizara zake ambazo ziliguswa moja kwa moja na misaada ya shirika hilo imejipanga vipi kuhakikisha kwamba itaepukana na changamoto zozote kwa usahihi?
Trump kanyooka kwelikweli acha ajenge nchi yake.
 
Back
Top Bottom