Rasmi USAID imevunjwa leo na Bunge la Marekani,serikali imejipangaji?

Walikuwa wanatuletea 40% iliyobaki wanakula ila bado wanatusimanga hatari
 
Hawanauwezo wakufanya hayo maamuzi,kama mstaafu Rais anapewa gari mpya yakutembelea kila baada ya miaka kadhaa na kiwese juu je wataweza kukata marupurupu kwawaliopo kazini?
 
Mada zisizo na ukweli.
Serikali ilishajipanga. ARV sio issue
 

Uchumi wetu ni mkubwa kuliko wa Marekani. Na bado unaendelea kutesa
 
U.S inaenda kupoteza respect duniani kuna taifa linaenda kuinuka.
 
DFP zitapungua sana kupark kwenye vi lodge vyenye self contained na electric wire fence.
Mbona kitambo amrefu mwananyamala soonish wamepak cruiser IHDV siku ya mnada tukumbukane nijipatie mkonge kwa laki 7
 
Mbona kitambo amrefu mwananyamala soonish wamepak cruiser IHDV siku ya mnada tukumbukane nijipatie mkonge kwa laki 7
Mnada lini boss, mimi nataka office accesories
 
Mtajifunza in a hard way
Mbona majirani wanatengeneza ARV
Ni mda sasa maabara zetu zitengeneze pia

Lazima tufanye yetu maana hatuwezi kuwa ombaomba miaka yote

Tunakubali na kuwa dhalili mpaka tunasaidiwa na VYOO ?

Bora wakate tu maana wanufaika zaidi wanajulikana maana miradi mingi ilikuwa inapigwa sana
 
Huwa Unafatilia Bunge???
Unajua Bajeti ya Mwaka Huu?

Unafahamu Kuhsuu Mjadala wa ARV na Magonjwa Mengine yaliyokuwa Yakipewa Msaada yalitolewa Maamuzi Gani?
 
Trump kanyooka kwelikweli acha ajenge nchi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…