Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo namkubali chibu dangote lakini zinapokuja harakati za matamasha kiukweli WCB ni watoto sana kwa CMG!!Vita ya CMG na WCB
Hapa umeongea pointKwa mvua hizi wangekula hasara, kufanya tamasha na mamlaka ya hali ya hewa imetangaza mvua za kisulisuli ilikuwa ni kubet pasipo akili.
Uzi ungeishia hapa!Kwa mvua hizi wangekula hasara, kufanya tamasha na mamlaka ya hali ya hewa imetangaza mvua za kisulisuli ilikuwa ni kubet pasipo akili.