MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,507
- 4,943

"Sijaskia Wachambuzi na Waandishi wakiliongelea hili lakini Young Africans SC mpaka sasa imeshakata tiketi ya kushiriki Mashindano ya Klabu bingwa Afrika msimu ujao na ndio malengo na shauku ya kila mwanayanga ilipo, sisi Yanga hatuwezi kujiliza kwenye Kombe la Shirikisho ni Kombe ambalo kikanuni hakuna Bingwa wa nchi yoyote ile ameshiriki sisi huko tumeshavuka na malengo yetu yote yapo kwenye Klabu bingwa Afrika"
@AliKamwe
NB; Kwa alama alizofikisha Yanga inamhakikishia kumaliza nafasi mbili za juu hivyo itashiriki michuano ya Club bingwa 2025/2026