The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Haijawahi kutokea hapa Tanzania kukawa na timu ya mpira wa miguu iliyo bora kama au kuliko Young Africans, Yanga pia ndiyo timu pekee kutoka Tanzania kushinda mechi nyingi za nje za kimataifa kwa msimu mmoja. Mpira wa miguu utapata heshima kubwa na kuleta maana ikiwa Yanga itachukua ubingwa wa CAFCC mwaka huu.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Dar es salaam Young Africans. [emoji172]
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Dar es salaam Young Africans. [emoji172]